Katika vyombo vya habari karibu vyote siku ya Jana viliripoti juu ya Bomu la kurushwa Kwa mkono lililoripuka Zanzibar juzi usiku na kusababisha kifo cha mtu mmoja na wengine kadhaa kujeruiwa. Kwa nchi yenye kujali utu na amani ya nchi, nilitegemea amiri jeshi Mkuu Wa nchi angefika aneo husika kuwajulia hali majerui na kupata taarifa ya tukio zima. jambo la kushangaza mheshimiwa rais ameenda kuzindua video za wasanii. Binafsi ikanifanya niwaze mambo yafuatayo:
(a) rais wetu masuala ya Zanzibar hayamuhusu Kwa sasa
(b) Nchi imeshazoea hali ya mabomu Zanzibar na sehemu nyingnezo za nchi hivyo kuripuka kwa Bomu hakuzuii maisha mengine kuendelea
(c) Rais Wa jamuhuri ya muungano Kwa sasa si amiri jeshi Kwa upande Wa zanxibar .
Binafsi nmewaza hayo kama nmekosea naomba pia nkosolewe Kwa staha ninayostahiki kama binadamu.
naomba kuwasilisha.
Sio shabiki wa JK lakini kwemye hili nimtete kidogo maana yuko Dodoma na tayari ana ratiba iliyopangwa.
Tumlaumu Kama hatotoa kauli kabisa juu ya hili
Mna Rais wenu,Bendera yenu,Katiba yenu,Bunge lenu na hivi sasa Rais wenu anapigiwa mizinga kama amiri jeshi mkuu bado mnataka JK ahusike na bomu lenu la utata.
Au hujui huko ni nchi jirani, JK anakuja kama mgeni.?
Katika vyombo vya habari karibu vyote siku ya Jana viliripoti juu ya Bomu la kurushwa Kwa mkono lililoripuka Zanzibar juzi usiku na kusababisha kifo cha mtu mmoja na wengine kadhaa kujeruiwa. Kwa nchi yenye kujali utu na amani ya nchi, nilitegemea amiri jeshi Mkuu Wa nchi angefika aneo husika kuwajulia hali majerui na kupata taarifa ya tukio zima. jambo la kushangaza mheshimiwa rais ameenda kuzindua video za wasanii. Binafsi ikanifanya niwaze mambo yafuatayo:
(a) rais wetu masuala ya Zanzibar hayamuhusu Kwa sasa
(b) Nchi imeshazoea hali ya mabomu Zanzibar na sehemu nyingnezo za nchi hivyo kuripuka kwa Bomu hakuzuii maisha mengine kuendelea
(c) Rais Wa jamuhuri ya muungano Kwa sasa si amiri jeshi Kwa upande Wa zanxibar .
Binafsi nmewaza hayo kama nmekosea naomba pia nkosolewe Kwa staha ninayostahiki kama binadamu.
naomba kuwasilisha.
Sio shabiki wa JK lakini kwemye hili nimtete kidogo maana yuko Dodoma na tayari ana ratiba iliyopangwa.
Tumlaumu Kama hatotoa kauli kabisa juu ya hili
Sio shabiki wa JK lakini kwemye hili nimtete kidogo maana yuko Dodoma na tayari ana ratiba iliyopangwa.
Tumlaumu Kama hatotoa kauli kabisa juu ya hili
What an excuses ! Mbona tunashuhudia marais wa wenzetu wakiahirisha vikao na ratiba pindi majanga ama mambo mazito yanapotokea kwenye nchi zao? So kiuno cha SHILOLE kilikuwa na Umuhimu kuliko kuwaondolea HOFU wananchi wake?
nakumbuka hata ulipotokea mripuko kwenye mkutano wa chadema kule Soweto babu Slaa alikuwa ziarani Ujerumani kama sikosei
Wewe nawe, mbona hata Arusha kulikuwa kuna Bomu lililorushwa Bar na hajafika.