Nimesikitishwa na Rais Kikwete

Nimesikitishwa na Rais Kikwete

TAWA

JF-Expert Member
Joined
Jun 23, 2013
Posts
3,674
Reaction score
1,572
Katika vyombo vya habari karibu vyote siku ya Jana viliripoti juu ya Bomu la kurushwa Kwa mkono lililoripuka Zanzibar juzi usiku na kusababisha kifo cha mtu mmoja na wengine kadhaa kujeruiwa.

Kwa nchi yenye kujali utu na amani ya nchi, nilitegemea amiri jeshi Mkuu Wa nchi angefika aneo husika kuwajulia hali majerui na kupata taarifa ya tukio zima.

Jambo la kushangaza mheshimiwa rais ameenda kuzindua video za wasanii.

Binafsi ikanifanya niwaze mambo yafuatayo:
(a) rais wetu masuala ya Zanzibar hayamuhusu Kwa sasa
(b) Nchi imeshazoea hali ya mabomu Zanzibar na sehemu nyingnezo za nchi hivyo kuripuka kwa Bomu hakuzuii maisha mengine kuendelea
(c) Rais Wa jamuhuri ya muungano Kwa sasa si amiri jeshi Kwa upande Wa zanxibar .

Binafsi nmewaza hayo kama nmekosea naomba pia nkosolewe Kwa staha ninayostahiki kama binadamu.

Naomba kuwasilisha.
 
Katika vyombo vya habari karibu vyote siku ya Jana viliripoti juu ya Bomu la kurushwa Kwa mkono lililoripuka Zanzibar juzi usiku na kusababisha kifo cha mtu mmoja na wengine kadhaa kujeruiwa. Kwa nchi yenye kujali utu na amani ya nchi, nilitegemea amiri jeshi Mkuu Wa nchi angefika aneo husika kuwajulia hali majerui na kupata taarifa ya tukio zima. jambo la kushangaza mheshimiwa rais ameenda kuzindua video za wasanii. Binafsi ikanifanya niwaze mambo yafuatayo:

naomba kuwasilisha.

Wewe nawe, mbona hata Arusha kulikuwa kuna Bomu lililorushwa Bar na hajafika.
 
Sio shabiki wa JK lakini kwemye hili nimtete kidogo maana yuko Dodoma na tayari ana ratiba iliyopangwa.

Tumlaumu Kama hatotoa kauli kabisa juu ya hili
 
ni kweli Mkuu. Kuna watu wakurupukaji sana humu
 
Mna Rais wenu,Bendera yenu,Katiba yenu,Bunge lenu na hivi sasa Rais wenu anapigiwa mizinga kama amiri jeshi mkuu bado mnataka JK ahusike na bomu lenu la utata.

Au hujui huko ni nchi jirani, JK anakuja kama mgeni.?
 
Kwani si wana katiba huko???!!!!

Katiba yao inasemaje juu ya hili????!!!!!

Ukiingia ngoma ya wakubwa cheza kama wao!!!!!!
 
Shukran sana!!!!!
 
Katika vyombo vya habari karibu vyote siku ya Jana viliripoti juu ya Bomu la kurushwa Kwa mkono lililoripuka Zanzibar juzi usiku na kusababisha kifo cha mtu mmoja na wengine kadhaa kujeruiwa. Kwa nchi yenye kujali utu na amani ya nchi, nilitegemea amiri jeshi Mkuu Wa nchi angefika aneo husika kuwajulia hali majerui na kupata taarifa ya tukio zima. jambo la kushangaza mheshimiwa rais ameenda kuzindua video za wasanii. Binafsi ikanifanya niwaze mambo yafuatayo:
(a) rais wetu masuala ya Zanzibar hayamuhusu Kwa sasa
(b) Nchi imeshazoea hali ya mabomu Zanzibar na sehemu nyingnezo za nchi hivyo kuripuka kwa Bomu hakuzuii maisha mengine kuendelea
(c) Rais Wa jamuhuri ya muungano Kwa sasa si amiri jeshi Kwa upande Wa zanxibar .
Binafsi nmewaza hayo kama nmekosea naomba pia nkosolewe Kwa staha ninayostahiki kama binadamu.
naomba kuwasilisha.

Mkuu umewasilisha mawazo yangu na pengine ya maelfu kwa mamilioni ya Watanzania wapenda amani wenye kiu ya maendeleo lakini wanakata tamaa kutokana na OMBWE la Uongozi lililoko kuanzia chini hadi Juu kabisa! Hivi Ikulu kama Taasis hawa kuliona hili? Rais wetu anashauriwa vema? kwanini mambo mazito ya kitaifa hayapewi vipaumbele? Walizoea kuwaita eti Watanzania Waislam ni MAGAIDI, wauaji. Grrrrr How come hao magaidi wawaue magaidi wenzao? Motives? Nchi yetu si salama tena, tunachonganishwa via watu wetu wenyewe na vyombo vya usalama viko honey moon! KWanini Rais asiitishe uchunguzi kwa kutumia Satellite? Ujinga huu ufike mwisho sasa kwani tumechoka maisha magumu bado na Ugaidi wa kufitinishwa wenyewe kwa wenyewe tunashindwa kuzuia?... I wonder kama pale Ikulu kuna best brains za kumshauri Mkuu anymore...
 
tuna rais wa ajabu sna,ye daily yuko busy na issue za kisanii,mambo ya msingi na nyeti wala hajali,akili yake iko kwenye vigodoro,baikoko tu!
 
Sio shabiki wa JK lakini kwemye hili nimtete kidogo maana yuko Dodoma na tayari ana ratiba iliyopangwa.

Tumlaumu Kama hatotoa kauli kabisa juu ya hili

What an excuses ! Mbona tunashuhudia marais wa wenzetu wakiahirisha vikao na ratiba pindi majanga ama mambo mazito yanapotokea kwenye nchi zao? So kiuno cha SHILOLE kilikuwa na Umuhimu kuliko kuwaondolea HOFU wananchi wake?
 
Kwani si wana katiba huko???!!!!

Katiba yao inasemaje juu ya hili????!!!!!

Ukiingia ngoma ya wakubwa cheza kama wao!!!!!!

Asante Kwa ushauri Mkuu olesaidimu umenifurahisha asubuhi hii
 
Muungano kiini macho huo, JK hata Arusha kwake ni nchi jirani ingekuwa chalinze hata kungekuwa na ajali ya bodaboda angeenda
 
nakumbuka hata ulipotokea mripuko kwenye mkutano wa chadema kule Soweto babu Slaa alikuwa ziarani Ujerumani kama sikosei
 
What an excuses ! Mbona tunashuhudia marais wa wenzetu wakiahirisha vikao na ratiba pindi majanga ama mambo mazito yanapotokea kwenye nchi zao? So kiuno cha SHILOLE kilikuwa na Umuhimu kuliko kuwaondolea HOFU wananchi wake?

nlishangaa kumuona yupo jukwaan anacheka Cheka tu
 
nakumbuka hata ulipotokea mripuko kwenye mkutano wa chadema kule Soweto babu Slaa alikuwa ziarani Ujerumani kama sikosei

Slaa siyo amiri jeshi Wa nchi hii bro punguza kula viporo. Ishu hapa mwenyekiti Wa kamati ya ulinzi na usalama taifa amechukuliaje Bomu lililoripuka juzi
 
Muungano kiini macho huo, JK hata Arusha kwake ni nchi jirani ingekuwa chalinze hata kungekuwa na ajali ya bodaboda angeenda

Mzee yeyote maarufu akifa lazima aende chalinze na ving'ora ulinzi Wa kufa mtu.
 
ImageUploadedByJamiiForums1402812732.872810.jpg

Haya ndo mambo anayopenda
 
ndio maana kule kuna mkuu wa police zanzibar mkuu sio kila sehemu rais aende ni ubwagu na ubwaguzi huo
 
Wewe nawe, mbona hata Arusha kulikuwa kuna Bomu lililorushwa Bar na hajafika.

Muache aendelee kulalamika mabomu muyarushe wenyewe then raisi wetu kipenzi ahangaike yeye. Hvi haoni raisi wetu anavyochapa kazi? Haoni alivyogeuka kua promota wa wasanii baada ya kuona majukumu ya ikulu yamemshinda? Jana katuahidi kumleta mwanamuziki mkubwa toka marekani Usher Raymond na hyo ni moja ya mafanikio ya ziara zake za huko marekan. Rais wetu tunakupenda sana we endelea kutuletea wasanii kwa kodi zetu.
 
Back
Top Bottom