Kila mwenye pesa atawekwa kwenye friji unless dini/imani yako hairuhusu. Mkuu ondoa hicho kibanda usije kupata hasara ya kujitakiaIpo siku utawekwa kwenye friji kama soda ndio utajua kumbe ujui
Mim nawasemea tu ila mim ipo jiji la miamba
Wenye maduka hata vijijini wapo, kila sehemu wapo na wanalipa kodi.Kwanin wenye maduka wanabaki mjini huo ni ubaguz bna
Panga fremu hapo mjini na ulipe kodi uone kama kuna mtu atakuja kukufata. Huna pesa za kupanga fremu basi wew mjini siyo sehemu yako. Ushauri wa bure kwako achana na ujamaa kwani ulishashindwa kitambo, masikini na tajiri hawawezi kuwa sawa. Tafuta pesa njoo mjini panga fremuKwanin wenye maduka wanabaki mjini huo ni ubaguz bna
Jamaa hajui kama hajui, bado anaishi kijima sana, anauliza kwanini matajiri wanabaki mjini na wao waende kijijiniKwani wewe hutawekwa kwenye friji!
Wajinga rudini vijijini mkalime acheni kulia lia na kutembeza Dawa za mbu
Sasa kua na mji msafi wakat watu wanalala njaa huo ni ushamba.ila wew unaonekana mbinafsi sana acha ubinafsi hautakufkisha popote
Hii kitu pia nishawahi kiwashangaa watu twitter wakanitukanaInasikitisha sana kuona Mtanzania mwenzio anabaguliwa kwamba yeye hafai kukaa mjini akakae huko mbali ajifiche na mjini ni kwa watu wenye uwezo fulani halafu wewe unafurahia eti sababu haikuhusu, imeniuma sana.
Viongozi acheni ulimbukeni hata Ulaya machinga wapo. Pia katika hao machinga wengine ni wasomi wakubwa ila hawana ajira.
Ujumbe wangu kwa wewe mnafki wa JamiiForums, acha kufurahia shida za wamachinga kwani hawakupenda kuwa wamachinga ila ni mifumo isiyofaa ya hii nchi.
Kinacho nishangaza JF kila mtu msomi, tajiri, ana gari, anaishi mjini, mjuaji, meneja, ana nyumba nzuri. Hahahahahahahaha JF bwana
KIPUNGA
Ulaya ipi kuna wa machinga ?Inasikitisha sana kuona Mtanzania mwenzio anabaguliwa kwamba yeye hafai kukaa mjini akakae huko mbali ajifiche na mjini ni kwa watu wenye uwezo fulani halafu wewe unafurahia eti sababu haikuhusu, imeniuma sana.
Viongozi acheni ulimbukeni hata Ulaya machinga wapo. Pia katika hao machinga wengine ni wasomi wakubwa ila hawana ajira.
Ujumbe wangu kwa wewe mnafki wa JamiiForums, acha kufurahia shida za wamachinga kwani hawakupenda kuwa wamachinga ila ni mifumo isiyofaa ya hii nchi.
Kinacho nishangaza JF kila mtu msomi, tajiri, ana gari, anaishi mjini, mjuaji, meneja, ana nyumba nzuri. Hahahahahahahaha JF bwana
KIPUNGA
Unaweza kuta mleta mada hajui hata nchi moja ya Ulaya au anadhani Ulaya ni nchi.Ulaya ipi kuna wa machinga ?
Yaani Ulaya ipi machinga wamejenga vibanda kwenye service road ?kwenye mitaro ya kupitisha maji ?Machinga Tanzania sawa ili wasifanye kwenye maeneo yasiyo rasmi kwa biashara.Unaweza kuta mleta mada hajui hata nchi moja ya Ulaya au anadhani Ulaya ni nchi.
Haki kamwe haipo duniani Kama yesu aliteswa ije iwe Machinga?Inasikitisha sana kuona Mtanzania mwenzio anabaguliwa kwamba yeye hafai kukaa mjini akakae huko mbali ajifiche na mjini ni kwa watu wenye uwezo fulani halafu wewe unafurahia eti sababu haikuhusu, imeniuma sana.
Viongozi acheni ulimbukeni hata Ulaya machinga wapo. Pia katika hao machinga wengine ni wasomi wakubwa ila hawana ajira.
Ujumbe wangu kwa wewe mnafki wa JamiiForums, acha kufurahia shida za wamachinga kwani hawakupenda kuwa wamachinga ila ni mifumo isiyofaa ya hii nchi.
Kinacho nishangaza JF kila mtu msomi, tajiri, ana gari, anaishi mjini, mjuaji, meneja, ana nyumba nzuri. Hahahahahahahaha JF bwana
KIPUNGA
Inasikitisha sana kuona Mtanzania mwenzio anabaguliwa kwamba yeye hafai kukaa mjini akakae huko mbali ajifiche na mjini ni kwa watu wenye uwezo fulani halafu wewe unafurahia eti sababu haikuhusu, imeniuma sana.
Viongozi acheni ulimbukeni hata Ulaya machinga wapo. Pia katika hao machinga wengine ni wasomi wakubwa ila hawana ajira.
Ujumbe wangu kwa wewe mnafki wa JamiiForums, acha kufurahia shida za wamachinga kwani hawakupenda kuwa wamachinga ila ni mifumo isiyofaa ya hii nchi.
Kinacho nishangaza JF kila mtu msomi, tajiri, ana gari, anaishi mjini, mjuaji, meneja, ana nyumba nzuri. Hahahahahahahaha JF bwana
KIPUNGA
Niko tayari kutoa mchango kwa Serikali endapo itaanzisha Machinga removal Fund, ya kuwalipa mgambo na SumaJKT ili wawatwange marungu vizuri.Holela holela..mwisho mkajenga vibanda hadi Mliman city
Umesema duka na si kupanga mbele ya duka la mwenzio huku hulipi kodi.Kwanin wenye maduka wanabaki mjini huo ni ubaguz bna