Jacobus
JF-Expert Member
- Mar 29, 2011
- 4,709
- 1,735
Mkuu, pamoja na kumnukuu profesa Parapagamba lakini UJINGA ni hali ya mtu kutoelewa jambo ila akielimishwa/fahamishwa hulielewa ila UPUMBAVU ni hali ya mtu kuelewa jambo lakini akajifanya kutolifahamu. Mkuu hebu tafakari haya:-Kwanini unasema WAJINGA na si WEREVU?
1. GRADES DONT MEASURE INTELIGENCE AND LEARNED FOOLS ARE MORE FOOL THAN IGNORANT FOOLS.
2. BINADAMU ALIVYO:-
-Yuko ambaye HAJUI na HAJUI kama HAJUI = MWELEKEZE.
-Yupo ambaye HAJUI na ANAJUA kuwa HAJUI = MFAHAMISHE.
-Yupo ambaye HAJUI na HATAKI KUJUA = MWACHE.
-Yupo ambaye ANAJUA na HAJUI kama ANAJUA = MWOGA.
-Yupo ambaye ANAJUA na ANAJUA kama ANAJUA = MWEREVU.
-Yupo ambaye ANAJUA na hataki KUJULISHA wenzake = MCHOYO.
-Yupo ambaye ANAJUA na hataki AJULIKANE kuwa ANAJUA = MSIRI.
-Yupo ambaye ANAJIFANYA kuwa ANAJUA kumbe HAJUI = MPUMBAVU.
-Yupo ambaye ANAJUA na ANATAKA mwenzake AJUE = MUUNGWANA.