Nimesikitika sana, kumbe UKAWA walichezewa karata tatu?

Taratibu dogo, wakati mwingine muukubali tu ukweli.

Ukweli gani usiokua na chanzo? Kama ni ukweli ungetaja na chanzo chako tukuamini. Sema nyie chadomo mnapenda sana kutunga vitu siwashangai kwa hili
 
Kila kilichofanyika hadi kufikia leo hamna kilichofanyika kwa bahati mbaya kwa upande wa magamba. Wakati wapinzani waliokua wanalilia katiba mpya toka awali walkiwa wanashiriki mazungumzo yote kwa mioyo safi, Magamba walishiriki bila mioyo safi. Ntakukumbusheni, CHADEMA wakiongoza bungeni huku nje wakiungwa mikono na makundi, taasisi na asasi mbalimbali kupinga Raisi asiteue wajumbe wa Tume ya kukusanya maoni ya Katiba magamba kama kawaida yao kwa wingi wao na hila zao walishinda. Kwa furaha kubwa walifanikiwa kujaza makada wa CCM ndani ya tume huku wakijua kuwa TUME ni yao na itawabeba. Lakini ROHO wa MUNGU akaishukia Tume ikatenda haki chini ya Uongozi wa mzee Warioba.Hivyo hapa magamba kwa mbinu zao zote walishindwa kutia mkono. Tukio jingine, CHADEMA wakiwa Bungeni peke yao walipigana kufa na kupona kuwa wajumbe wa BMK wasiteuliwe na Raisi hapa nakumbuka hata Wakuu wa wilaya walikataliwa naChadema Wasisimamie mikutano ya ukusanyaji maoni kwa sababu Wakuu wa Wilaya ni wajumbe wa kamati za CCM wilayani na ni wateule wa Raisi, hapa magamba kwa wingi wao walishinda.Tukio jingine ni Hapa wote sasa CHADEMA, CUF, NCCR, DP, na Baadhi walipinga kura za wazi, walipinga Raisi kuhutubia baada ya mwenyekiti wa Tume lakini walishindwa na magamba kwa idadi yao kubwa. Hivyo basi CCM walijua wamemaliza kazi ,Lakini hawakutegemea kama Wapinzani wataungana na kuunda umoja wenye nguvu, UKAWA. kuwadhibiti ukawa ikawa kazi. Wakati UKAWA wakiongea na Rais baadae magamba wakawa na vikao vingine vya siri ili kuwazidi kete.Hata hivyo vyote vikawa havina tija kilichobaki ni delayment tactics tu nadhani wote ni mashahidi. Msidanganye kuwa Rais hana mamlaka ya kuvunja au kusimamisha BMK.Hata kama hana ilikua ni hekima tu kumwita Mwenyekiti wa BMK na kushauriana wasimamishe bunge kwanza ili muafaka ufikiwe ndipo bunge liendelee. Haiwezekani mwemyekiti wa BMK asimheshimu Rais wan nchi ambae ni mkuu wa mawaziri ambae ni mkuu wa Sitta, Mwenyekiti wa chama cha Sitta CCM hata kwa hekima tu ya kawaida.kila kitu kilipangwa.
 
Kumbe Mtu mwenye heshima kubwa ktk nchi hii mwenye dhamana kubwa kabisa hapa nchini anaweza kushiriki vitendo vya Uongo. Leo ndio nepata uhakika kuwa kumbe Rais na Sitta lao lilikua moja kuwa zuga, kuwahadaa, ku buy time, na hatimae kuwapiga changa la macho UKAWA. huu ni mkakati ulisukwa mahsusi ili kifanyike kilichofanyika juu ya uandikwaji wa katiba yenye kuinusuru CCM.

Hatimae yametimia na sasa ni ndoto kupatikana katiba inayotakiwa na wananchi kama ilivyopendekezwa na Tume ya Warioba.Mpango huu haramu uliwahusisha kwa makusudi watu ambao hawahitaji katiba ya kweli ili baadae watoe matamko dhidi ya UKAWA. hawa ni Mrema,Cheyo,Dovutwa na wapinga mabadiliko wengine. Kikwete alikua ana mamlaka ya kumwamuru Sitta kusitisha BMK lakini alijifanya hayamhusu.Tuna safari ndefu. kwa masikitiko makubwa kabisa nawasilisha.
Source ya habari hii siwezi kuitaja.

.

Kama 6 ana uwezo basi apinge hiyo order ya mahakama kuu
 
ndugu tafuta mkate wako. adui wa mtz Ni yeye mwenyewe. ukawa wanawatetea lakini watz hawatoi ushirikiano.Ngoja cha moto wakipate. inaudhi
 
Ukifikilia kwa undani haya uliyoyaandika utaona ilivyo vigumu kwa KIkwete kuaminika tena siku nyingine kwenye jambo linguine la kitaifa sijui atakuja kuongea na nani
 
UKAWA wameonyesha njia lAkini watanzania wameshindwa kuwapa ushirikiano ni watanzania wachache Sana tuliojitokeza kupaza sauti zetu.
 
Ukifikilia kwa undani haya uliyoyaandika utaona ilivyo vigumu kwa KIkwete kuaminika tena siku nyingine kwenye jambo linguine la kitaifa sijui atakuja kuongea na nani
Kwani wewe huwa unamwamini? alituambia wezi wa EPA.watasamehewa wakirudisha hela walizoiba wamerudisha ngapi? alisema hamjui mmiliki wa Dowans unaamini hivyo? Unakumbuka Sita alisitisha gafla mjadala wa Richmond alisema wahusika wamechukuliwa hatua nani kachukuliwa?
 
Lipumba na Mbatia sio wasaliti katika suala hili la katiba.ila Uongo mkubwa umefanywa na watu wanaoaminika na jamii. tatizo lenu nyie mafisadi na magamba mkiona siri zenu zinaanza kivuja mnaanza kupotosha watu.Mtaumbuka sana mwaka huu.kila mtakacho fanya kwa hila gizani kitajulikana tu.

huyo WALA SIYO FISADI , NI KIJANA MWENYE NJAA KALI ANAYELIPWA ELFU 7 TU , HANA LOLOTE ! ENDELEA KULETA TAARIFA MKUU .
 
Kumbe Mtu mwenye heshima kubwa ktk nchi hii mwenye dhamana kubwa kabisa hapa nchini anaweza kushiriki vitendo vya Uongo. Leo ndio nepata uhakika kuwa kumbe Rais na Sitta lao lilikua moja kuwa zuga, kuwahadaa, ku buy time, na hatimae kuwapiga changa la macho UKAWA. huu ni mkakati ulisukwa mahsusi ili kifanyike kilichofanyika juu ya uandikwaji wa katiba yenye kuinusuru CCM.

Hatimae yametimia na sasa ni ndoto kupatikana katiba inayotakiwa na wananchi kama ilivyopendekezwa na Tume ya Warioba.Mpango huu haramu uliwahusisha kwa makusudi watu ambao hawahitaji katiba ya kweli ili baadae watoe matamko dhidi ya UKAWA. hawa ni Mrema,Cheyo,Dovutwa na wapinga mabadiliko wengine. Kikwete alikua ana mamlaka ya kumwamuru Sitta kusitisha BMK lakini alijifanya hayamhusu.Tuna safari ndefu. kwa masikitiko makubwa kabisa nawasilisha.
Source ya habari hii siwezi kuitaja.

.

Mkuu sina hata diploma ila habarii hii haina hata source ni akili ya kawaida tu unan'gamua hili.

swali

1.Kweli kama mnavyosema T.Lissu aliulizwa kuhusu kifungu cha sheria kinachohusu rais kuvunja bunge la katiba na raia mwenyewe.

Jibu ;lake hakuna kifungu cha hicho

2.Swali langu ambalo angeulizwa rais ni kuwa ni kifungu cha sheria ipi ambayo ilimpa haki au wajibu wa kuanzisha mchakato wa #Katiba mpya?wapi alitoa hayo mamlaka?

wakati aliapa kuwa atailinda na kuitetea katiba ya jmt??

Kama ni busara basi busara hiyohiyo iliotumika kuanzisha na kusitisha ingetumika hiyo hiyo..

KAMA SHERIA INAFUATWA ILIBIDI BASI BUNGE LA KATIBA LIFUNGULIWE NA RAIS NA MWENYEKITI AFUATE...

NDIO HAPO PA KUJIFUNZA UNAFKI WA WANASIASA KUMBUKENI SITA ALIVYOMNANGA ANDREW CHENGE KUHUSU UFISADI NA KUMWAGA UNGA BUNGENI KIPINDI MH SITTA AKIWA SPIKA.

NA VILE SITTA ALIVYOGOMBEA MARA YA 2 KWA KIPINDI KINGINE NA MH CHENGE AKATAKA KUGOMBEA NA KUSEMA TUKOSE SOTE.

LEO WAMESAMEHEANA NA WANACHEKA NA KUFURAHI PAMOJA KIASI KWAMBA HATA MAJI AU SODA WANAWEZA KUACHIANA.TOFAUTI NA SIKU ZA NYUMA.
 
Kikwete anaihada kizazi chake na kunusuru chama. He is something! Au labda wap hawataishi Tanzania milele. Huwa siwaelewi hawa wtu. Hawana nia ua dhati ya mabadiliko kuendeleza nchi.
 
Ukifikilia kwa undani haya uliyoyaandika utaona ilivyo vigumu kwa KIkwete kuaminika tena siku nyingine kwenye jambo linguine la kitaifa sijui atakuja kuongea na nani

Kwa muda aliobakiza kunajambo lingine la kitaifa atakabidhiwa hiyu jamaa? Unless otherwise anagombea msimu wa tatu!!
 
Kazi ipo yaani mtu anachukua kompyuta au simu anaandiki upuuzi na uchonganishi kama huu
Daah kutumika kubaya sana
 
Wivu mwingine bana.Mahakama ilishatoa uamuzi na kesi zenu zisizo macho hadi wanasheria wenu vihiyo
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom