Nimesikitika sana baada ya kusoma hapa!

Nimesikitika sana baada ya kusoma hapa!

tamimusalim

JF-Expert Member
Joined
Jun 17, 2014
Posts
1,822
Reaction score
501
ImageUploadedByJamiiForums1442118728.475123.jpg
Kweli mabadiliko yanatakiwa
 
Jamani hasira zangu dhidi ya ccm zimezidi nisije bust, naomba tume waruhusu tupige kura huu mwezi wa tisa.
 
daaaah...yani basi tena kura yangu rasmi ipo kwa LOWASA sasa dah.
 
------HAOOOO! WANAONA UCHUNGU WA BULE BULE,KWANI KILA MTU SI ANAKULA KAZINI KWAKE?WIVU TU!!
ii
 
Duuu!..Ndio maana wanatuita wapumbavu,malofa na mbumbumbu kwa kuwa wanafahamu wanafanya madudu kama haya na bado tunawapa kura zetu!!
 
Enyi fisi-maji mmemkumbatia huyo fisadi sugu....subirini mpasuko baada ya October ndo muanze kumkumbuka Dr Slaa..

hivi hoja ni Slaa hapa au ni hizo meli? tulia acha kupanick kwenye ukweli kama huna fact SHUT UP!!!!
 
Yani ata Mungu mwenyewe ataingilia kati watz tumeshaamka HAKUNA KUCHAGUA TENA HAWA FISI.
VIVA UKAWA!!!
 
Duuu!..Ndio maana wanatuita wapumbavu,malofa na mbumbumbu kwa kuwa wanafahamu wanafanya madudu kama haya na bado tunawapa kura zetu!!

Yaani wewe ndio umeelewa vuzuri usemi wa Mkapa a.k.a Sim tank.
 
Enyi fisi-maji mmemkumbatia huyo fisadi sugu....subirini mpasuko baada ya October ndo muanze kumkumbuka Dr Slaa..

Hoja iliyoko mezani umeiona lakini? Kama maneno magumu cheki angalau picha tu then tupe majibu
 
Enyi fisi-maji mmemkumbatia huyo fisadi sugu....subirini mpasuko baada ya October ndo muanze kumkumbuka Dr Slaa..

wewe kunguru nguruwe sasa hapo mambo ya dr mihogo yanaingiaje?? yaani nyie ccm mmetufanya wa TZ kama mazombi ya WALKING DEAD vile!!.
subiri 25 oct ifike maji utaita m'ma.
 
Mimi mwana CCM Kindakindaki naapa kuwa nitampigia kura Edward Ngoyai Lowassa anayeiwakilisha CHADEMA kupitia mwamvuli wa Muungano wa vyama vya UKAWA. Kama kunawakati ambapo CCM inahitaji kujipanga vyema na kurekebisha mapungufu yaliyopo wakati huo ndio sasa.Kwa yeyote anayeipenda CCM kama mimi,naomba kwa Moyo Mkunjufu tuiweke CCM pembeni ili ikajikague,ikajitafakari na kisha ijipange kwa ajili ya 2020 - 2025.Gari ama mashine yeyote ile hata iwe tingatinga ikiharibika sharti iwekwe pembeni ili ifanyiwe marekebisho.Ukiilazimisha iendelee na kazi ama iendelee na safari madhara yake ni makubwa sana kwa abiria,mazingira na hata watu waliokaribu na mashine hiyo!!Kataa vitisho,kataa kununuliwa kama bidhaa,kataa uchochezi,kataa michezo michafu ya Kisiasa...Jiandae kupiga kura yako kwa Diwani,Mbunge na Rais wa UKAWA.....MUNGU ibariki TANZANIA na watu wake wote!!
 
Back
Top Bottom