Nimesikitika hotuba ya Mbowe imekosa madhumuni. Imejaa ubinafsi, lawama, majuto na umwamba, fitina na chuki

Hatuhitaji tena mtu jamii ya magufuli atokee tena tanzania na akapewa uongozi hatutaki tena hilo litokee nchi hii.

Watanzania siyo kwa usahaulifu huu. Nyie si mlitaka jeshi lichukue nchi mwaka 2013/14!!!?
 
Ila hatukutaka ukatili , uropokaji, jeuri na kiburi, na wala hatukutaka mtu asiye taka kukaguliwa,hatukutaka mbaguzi na mkabila
 
Wakati wanatupa habari juu ya hotuba ya Mbowe kwa taifa kwenye uzi ule nilimpa tahadhari Mbowe awe smart tupo ambao tunasoma upepo.

Nimesikitika hotuba ya Mbowe imekosa madhumuni imejaa ubinafsi, lawama, majuto na umwamba plus fitina na chuki.
Leo ndo nimeamini Mbowe hayuko serious na taifa kachukuliwa sana na emotions na huruka zake tu.

Mbowe huyu tukisema tumchambue mabaya yake yapo kibao vitabu vitajaa, kuna watu wengi wamekimbia CHADEMA kwa ajili yake!! Lakini leo kasahau. Sikusidii kuwataja.

Mimi nimeconfirm rasmi leo tusije kujidanganya kwenda kwenye chama chake kwa hasira ya yanayoendelea ya wasaliti wa mwendazake. Tuendelee kuvuta subira huku tukisoma nani ni nani, na mwisho kwa pamoja tutajuzana wapi kunafaa.

Mungu aendelee kuwatunza mataga wenzangu.
Kwani ulilazimishwa kumsikiliza?
 
Hebu kwa ufupi na sentensi chache andika hapa ambayo wewe unaona mbowe alipaswa kuyasema.

Kaongea kilichotokea na kilichopo na kile ambacho wanaona ni vyema kuenenda nacho. Sijui wewe ulitaka aongelee nini kama sio siasa za Tanzania na utawala dhalimu wa mwendazake.

Au ulitaka achomekee story za kuchakatana kama mwendazake. Wanyonge akili zenu aisee
 
Mwendazake alikuwa kizazi cha kina Iddi Amani, Bokassa, na kina Mobutu sijui alichelewaje kuzaliwa
 
Wakati wanatupa habari juu ya hotuba ya Mbowe kwa taifa kwenye uzi ule nilimpa tahadhari Mbowe awe smart tupo ambao tunasoma upepo.

Nimesikitika hotuba ya Mbowe imekosa madhumuni imejaa ubinafsi, lawama, majuto na umwamba plus fitina na chuki.
Leo ndo nimeamini Mbowe hayuko serious na taifa kachukuliwa sana na emotions na huruka zake tu.

Mbowe huyu tukisema tumchambue mabaya yake yapo kibao vitabu vitajaa, kuna watu wengi wamekimbia CHADEMA kwa ajili yake!! Lakini leo kasahau. Sikusidii kuwataja.

Mimi nimeconfirm rasmi leo tusije kujidanganya kwenda kwenye chama chake kwa hasira ya yanayoendelea ya wasaliti wa mwendazake. Tuendelee kuvuta subira huku tukisoma nani ni nani, na mwisho kwa pamoja tutajuzana wapi kunafaa.

Mungu aendelee kuwatunza mataga wenzangu.
Nimesikitika umetunga uongo kwa kuwa ulizoea kuishi na kula kwa kusema uongo
 
kati ya viongozi ambao heshima yao inatakiwa kuendelea kuwepo katika hii nchi ni mbowe, ingawa ameongea upuuzi tu katika ripoti yake, na pia nampa pole kwa vita vyake na TRA ila ukweli ni kwamba corona sio tishio tanzania kama wanavotaka kuaminisha watu, na nshawah hudhuria msiba wa mtu alietangulia kwa corona kipindi cha magu but still corona can even be ignored and serikali ikawekeza kwenye malaria ama mortality rate ya watoto wadogo!
 
  • Thanks
Reactions: mmh
Staki kuamini mbowe hana washauri wake na kama anao basi wafukuzwe kazi mara moja
 
Hatuhitaji tena mtu jamii ya magufuli atokee tena tanzania na akapewa uongozi hatutaki tena hilo litokee nchi hii.
Sema we hutaki ila wananchi wengi tunataka sana vyuma kama hivo. Ili mradi apatikane kupitia michakato iliyokamilika.
 
Wakati wanatupa habari juu ya hotuba ya Mbowe kwa taifa kwenye uzi ule nilimpa tahadhari Mbowe awe smart tupo ambao tunasoma upepo.

Nimesikitika hotuba ya Mbowe imekosa madhumuni imejaa ubinafsi, lawama, majuto na umwamba plus fitina na chuki.
Leo ndo nimeamini Mbowe hayuko serious na taifa kachukuliwa sana na emotions na huruka zake tu.

Mbowe huyu tukisema tumchambue mabaya yake yapo kibao vitabu vitajaa, kuna watu wengi wamekimbia CHADEMA kwa ajili yake!! Lakini leo kasahau. Sikusidii kuwataja.

Mimi nimeconfirm rasmi leo tusije kujidanganya kwenda kwenye chama chake kwa hasira ya yanayoendelea ya wasaliti wa mwendazake. Tuendelee kuvuta subira huku tukisoma nani ni nani, na mwisho kwa pamoja tutajuzana wapi kunafaa.

Mungu aendelee kuwatunza mataga wenzangu.
Wamelichamba na kulibagaza limagufuli tumefurahi sana nchi nzima.
 
Pumba tupu. Peleka utopolo huko kuzima kwa meko.
 
Mlitumika kutesa watu,kuuwa mkizani Mungu wa mbinguni hayupo. Magufuri hawezi kwenda mbinguni kwa madudu yake, Mungu amekataza dhuluma kwenye misahafu yote ya dini.
 
Back
Top Bottom