Habari zenu wana MMU
Mimi nimekuwa nikisoma tu vile mnashauri watu n mimi ni mgeni humu naamini mtanipa ushirikiano
Jana nilienda club ile tupo na danc nikamuona shemeji yangu yupo na gal mwingine karbu kabisa na nilipokuwa mi
Baada ya kuniona aliogopa kabisa mimi nikamsalimia nikafanya kama hakijatokea kitu
Niliumia kuona yupo anakis kis na dam mwngne akati ana wife Yake!
Nafikiri nimwambie my sis lakn naogopa ntaaribu ndoa yao nafikiri pia nimwambie shem vile sikupenda awache michepuko
Naomba mnijuze wadau nimweleze my sista?