Nimeshuhudia mtu akikata roho LIVE

Imenikumbusha ex wangu alivyookoa maisha yangu, she was just alone fighting for my life no friend (ambao ninao wengi sana), No ndugu but it was only her.Nikikumbuka zile moments najikuta nalia kweli ulinipenda sana sana J.

Japo upo na mwanaume mwingine lakini tambua nakuthamini kupita kiasi and i wish nisingekufanyia upuuzi nisamehe sana and i wish you happiness huko uliko and just know niko hapa if you need my help.
Love you!!!
 
huduma za afya Tz, Mungu atutetee tu!Apumzike kwa Amani mwamba; hosp gn hyo?
Itakuwa mount meru tu pale wahudumu ni makaksi hatari! Unamuambia nesi "jamani naomba ukamuangalie mgonjwa wangu hali yake imekuwa mbaya"anakuambia "kwa hiyo mimi nikambebe mgongoni ndio ajisikie vizuri? Si nimekwambia subiri?" yaani heri ya waganga wa jadi!!
 
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] Nacheka km mazuri lkn hapo kwenye REST IN PEACE MWAMBA umeniacha hoi sana.

BTW pole sana kwa kushuhudia tukio kama hilo. Wengine ndo kazi zetu hizo, kila siku tunashuhudia vifo machoni petu.

Sekta ya afya bado ni changamoto kwa ujumla. CPR sio mchezo ktk facility za level za chini sababu nyenzo haziruhusu. Kwa io unakuta hata ukiitwa unakuwa dilemma sana.

All in all REST IN PEACE MWAMBA.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Baada ya kufa ndugu wanaanza kukimbizana na Mali ulizo ziacha, mke anafukuzwa kama mbwa ,wanawake wote waheshimiwe

Hii kitu nimeshuhudia wiki moja nyuma,
Mawifi wanamsema mwanamke amemuua mumewe!!
Dada kaachwa na watoto watatu mmoja mchanga kabisa
Mke akaondoka na gari ya maiti

Mawifi huku nyuma wakahamisha kila kitu!!



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Umenena kweli mkuu Tuwapende na kuwaheshimu wake zetu

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Ndugu walikuja baada ya jamaa kufa?? Heshimuni sana wake zenu, mke hapi hajalala anaangalia mume huku ndugu na marafiki wanakoroma zao majumbani kwao!! Daaah!!
 
kufa ni simple mno mkuu usione watu wanapigwa risasi 38 halafu bado wanatoboa ni kiburi tu
Sikutegemea ningekuta comment ya kuchekesha ktk thread kama hii, hahahahahaha Mkuu umenfurahisha.

Live Long Comrade Lissu.
 
Yani ukiwa hospitali na mgonjwa halafu akaanza kwenda chooni hovyo wakati mwanzo hakuwa hivyo basi andaa msiba. Ukiwa hospitali na mgonjwa bahati nzuri akapiga chafya basi jua bado mwili una nguvu sana maana chafya haitoki kizembe. Ukiona kapiga chafya basi walau ana wiki mbele ndipo tuone tena litakalokuwepo ila kwa wiki yote wewe relax maana mwana hatoki.
 
Hii kitu nimeshuhudia wiki moja nyuma,
Mawifi wanamsema mwanamke amemuua mumewe!!
Dada kaachwa na watoto watatu mmoja mchanga kabisa
Mke akaondoka na gari ya maiti

Mawifi huku nyuma wakahamisha kila kitu!!



Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] wanawake tuna roho za ajabuajabu sana mungu atusamehe tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Bundi Ndege wa ajabu sana huwa na ana maono na kifo huwa kuna kiungo cha mwili hutangulia kufa na kutoa harufu Bundi huwa ana sense kali sana ya harufu hiyo ,Hivyo husogea eneo la tukio akijua ataambulia menyu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mtu kabla hajafa sehemu kubwa ya damu kwenye nyama huanza kuganda. Bundi anapenda sana msosi wenye damu hiyo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…