Joseverest
JF-Expert Member
- Sep 25, 2013
- 53,332
- 72,655
Kama una uhakika thibitisha kwa dataMkuu usimpe matumaini, simu zote zinasikilizwa hivi sasa.
Rekodi inawekwa kwa kumbukumbu.
Kama una uhakika thibitisha kwa dataMkuu usimpe matumaini, simu zote zinasikilizwa hivi sasa.
Rekodi inawekwa kwa kumbukumbu.
Mbona sijaona hiyo Siti? Au we umeiona?Amewahi siti tu
Youuu, is just like diving into fireukitaka kmjua ni rahisi sana jifanye kama unaongea una miadi na demu... panga na sehemu kabisa na muda then utajua ....
kama ni watu wa usalama jifanye una deal kubwa sana kama la kuchinja mtu pesa nyingi sana... panga na sehemu then...utagundua.
unaweza pata ka mkasa flan hapo. njoo utube mrejesho.
Thibitisha kuwa jua litazama jioni ya leo!Kama una uhakika thibitisha kwa data
hii service ni nzuri sana kama umeitoa nakusikitia.Helped, asante
unazinguaThibitisha kuwa jua litazama jioni ya leo!
eti #2Mbona sijaona hiyo Siti? Au we umeiona?