Nimeshitushwa sana hapa nilipopanga!!

VPN USED2020OCTOBER28

JF-Expert Member
Joined
Oct 27, 2011
Posts
1,505
Reaction score
677
Habari zenu Wana jf??
Eti inawezekana MTU anakaa chumba kimoja then anafuga paka? Paka analia balaaa!! Mpangaji Mwenyrwe ni mhehe jamani.... Wadau huyu mmama siyo mshirika kweli? Mimi nlizani kuwa MTU akiwa anakaa kwake au amepanga nyumba nzima ndo anafuga paka.... Binafsi siwapendi paka ..... Wadau naombeni uzoefu wenu kwa hili MTU amepanga chumba kimoja then anafuga paka..je hili liko salama kweli?
 

Hahahahahah kwahiyo wahehe na mambunyali dam dam? Nimecheka mno
 

Hahaha na wewe fuga mbwa ndugu. Ngoma droo! πŸ™‚ πŸ™‚ πŸ™‚
 
Fuga jibwaa hapoo kiroho safi uyooo paka ataamsha popo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…