Asante. Mke wangu ali propose hiyo njia nikasema inaweza ikaleta confrontation kati yao maana alikasirika sana ! Fine ngoja apoe kwanza aweze kumwambia kwa upole as you proposed. Ngoja tulitafakariKwa mtazamo wangu, Ikiwezekana mkeo ampigie simu wifi yake kwa upole kabisa na busara kwamba kwa bahati mbaya ile sms aliyokua anatuma sehemu nyingine imekuja kwake na amuombe tu anachofanya sio kizuri Kama mwanamke mwenzake, angeweza kumwambia mumewe lakini hajapenda kufanya hivyo akiamini kwamba ilo litaharibu ndoa yao hivyo ameamua kumwambia mwenyewe ili abadilike na haache hayo mambo Kama ataamua kuendelea na kuto badilika basi itabidi aseme.
Nadhani ilo litamtesa kwa kumpa hukumu ndani ya nafsi yake kwa mstaarabu ataomba msamaha ila kwa aliye vurugwa ataonekana tu kwa mwitikio wake na apo Sasa anaweza enda kumwambia ndugu yake.
Nakubaliana na wewe, ila reaction ya mwanaume inaweza ikawa ya kuvunja ndoa.... kukosa amani nyumbani maana hata akitoka kwenda kulima.. amekwenda kwa wanaume etc etcAmweke wazi tu mdogo wake. Kuna mambo ya kuyakalia kimya ila sio masuala ya kukosa uaminifu kwenye ndoa.
asante ngoja tulitafakariUshauri wangu ni kumuita huyo wifi wa mkeo muongee naye kwa kina. Awape namba na jina la huyo mwanaume wake mumpigie na kumuonya aache upuuzi wake wa kutaka kuvuruga ndoa ya watu. Na huyo wifi wa mkeo mumpe onyo kali sana.
Nipe ushauri. Mimi sikuwepo , nilikuja ananionyesha, kama ilikuwa yangu yanini anionyeshe?mkuu nahisi hiyo txt ulikua unatumiwa wewe ndio maana hutaki mkeo afanye anachotaka kifanya.
comment tayari.
Rebeca uache kulalia upande wa mwanamke mwenzio najinyonga kwa mlenda 😂mwambie mkeo aongee na mdogo wake,kipi wifi yake anakikosa kwake?? wanawake sisi ni baadhi yetu tu ndio huwa tunachiti wengi ni wavumilivu ndoani,LOL...we always want to feel SEXY,LOVED AND WANTED...hii ni CONSTANTLY ..sasa kuna kitu kinamiss hapo...mwambie mkeo aongee na mdogo wake..LOL
Yaani mtu achepuke halafu uende kuuliza upamde wa pili kuwa umepungukiwa na nini? Kweli kabisa? Aisee hapana. Issue adeal na mchepukaji tu. Hii ni kuhamisha tatizo kwa asiyehusika!mwambie mkeo aongee na mdogo wake,kipi wifi yake anakikosa kwake?? wanawake sisi ni baadhi yetu tu ndio huwa tunachiti wengi ni wavumilivu ndoani,LOL...we always want to feel SEXY,LOVED AND WANTED...hii ni CONSTANTLY ..sasa kuna kitu kinamiss hapo...mwambie mkeo aongee na mdogo wake..LOL