Nimeshindwa, Nahama Chadema

huyu anafurahisha jukwaa tu,hayupo serious na pengine si mwanachama wa chama chochote, humu JF nimeshaona threads nyingi za aina hii zenye malengo ya kupotezea watu muda wao.
 
Ulipojiunga ulimtangazia nani? Thubutu kuweka jina lako mkuu tuhakiki uanachama wako. Nikisoma hiyo post yako nahisi kama nasikiliza kaseti aliyorekodiwa Kinana au chiligati
 

mjinga ndiye anayeliwa
 
Usikute nawe upo UDOM, elimu ya kulazimishwa hata kama hamkufaulu. Usijitoe siku zote ungojee mpaka mamabo yanapokua mambo? Acha upuuzi
 
Wewe inaelekea hata kiberiti hujui kinauzwa kiasi gani...unaletewa kila kitu kwenye meza ungekuwa unaumia mfukoni usingeongea upuuzi huu....una habari sukari kilo moja ni tshs 2000 kima cha chini cha mshahara ni kiasi gani? embe moja ni tshs 600 yaani matunda ni luxury uuuuwiiiiiii

Nanunua maji kuanzia mwanzo wa mwezi mpaka mwisho wa mwezi na bado dawasco wanaleta bili...nani anataka serikali ya namna hiyo....

Petroli sasa hivi ni elfu mbili kasoro mia mbili...wee unasema nini bwana...usiongee huo ujinga tena.....

Ukija kwenye umeme sijui unaongea nini weweee...kaaa kimya.....hama hatukuhitaji weeee kula kulala.....
 

Kichwa cha nchi yetu ni Watanzania na si raisi. Raisi anatakiwa achaguliwe na wananchi na si NEC. Hivyo wananchi wana haki ya kumpinga mtu yeyote anayeingia madarakani kwa kukiuka matakwa ya wananchi. Kikwete ni mtu huyo na kumpinga ni haki ya kikatiba kwa mujibu wa ibara ya 8 na 26 ya katiba. Usizungumze kwa hasira kwani ukiwa katika hali hiyo ubongo haufanyi kazi ila makamasi. Tulizana tu ndugu yangu na akili itatuwama na utaweza kutoa hoja nzuri tu.
 

Nimepata habari kuwa kwa kila mmoja anayeshawishiwa kuhama 10 wanajiunga.
 

Jina moja tu linakufaa wewe, KILAZA. Fanya jitihada uonane na madaktari wakupe appointment kwa ajili ya brain surgery labda itasaidia!
 
na wakikuchakachua uje tena hapa jamvini utueleze. maana inaonekana unapenda sana kujieleza mambo yako kwa watu.
 
Nenda Kishongo, nenda huko CCM ukageuzwe hasusa kwani huko ili uruhusiwe kula sharti ukubali kuliwa kwanza !
 

wewe ni kishongo au kichongo? Wadau mpeni defn ya chongo.
 

nani amekuuliza kama unarudisha rudisha, sio mpaka utamwabie kila unalofanya unajaza tu JF kwa mambo ambayo hayana tija...... kwahiyo kila unalofanya utakuwa unatutaarifu?
 
kwa hakika Msimamo huu wa CHADEMA nami unanishangaza sana kwani haiwi halali supu ya Nguruwe na Nyama yake ikawa ni Haramu, iweje wabakie wakati wa Uchaguzi wa Waziri Mkuu na Watoke wakati wa Hutuba ya Rais? ipo namna inawezekana kuwa Uongozi wa Juu wa CHADEMA haukuwa makini au wanatafautiana kwa Kunafikiana, hili litakipasua Chama.

Bunge limeahirishwa hadi tarehe 8 Feb na likianza kazi ya Mwanzo itakuwa ni kuijadili Hotuba ya Rais ambayo imekusanya mijambo tele ambayo inataka kuchambuliwa sasa CHADEMA watakuwa ni Mabubu? ndio faida ya kupewlekwa Bungeni na Wakichangia sio watakuwa WASHAMTAMBUWA RAIS, siasa ni mitego na hekima sioi ushabiki. ipo haja Halmashauri Kuu na Kamati Kuu ya Chadema Kukutana na kuja na msimamo MMOJA sio kuja kufuata hamasa za Tundu Lissu na Mbowe Chama Mtakiuwa
 


Hivi nikikutukana kuwa wewe Mpumbavu ni dhambi? Kwanza ninahakika hata kadi ya CHADEMA huna FATAKI mkubwa wewe!

Nenda kauze sura huko unakoenda na huo udini uliokujaa usoni. Hata ungeomba kadi ya CHADEMA hakuna angekupa nakujua wewe. Hata kuishi kwako inaonekana unadowea kwa watu.
 
Wana JF tusipoteze muda kujadili upupu. huu ni upupu kuliko hata uliochakachuliwa kuonesha ni tamko la wasomi. huyu nadhani ukiweka akili yake na ya makamba, makamba atakuwa the first from non. you know what, hili ni boga ambalo limejaa maji zaidi. na kama ni kweli atuoneshe kadi yake na tarehe aliyohukulia. kunguru!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!! akili yake ni degedege.
 
Wewe umeona nimetoa mada ya kuhama CCM na kuhamia CHADEMA kwa hiyo umeona kama nimewabomoa CCM na hivyo Makamba kakutuma ubandike hapa huu uzushi. Sasa kwenye mada yako hii kwa kuwa unajifanya kujibu ya kwangu weka kadi yako hapa kama uthibitisho na mimi nitaweka yangu ya CCM ambayo jumatatu hii naikabidhi kwa CHADEMA.
 

unaweza kuhama nchi,dini,team,chama lakini huwezi badilisha kabila...wewe ni mkwere na utabaki mkwere hadi kifo chako
 
such ones like you if you were a woman you couldn't keep to your marriage.
 

mbona hujibu swali? ulipoingia hukutuambia sasa unatuambia unatoka ili iweje??:redfaces:
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…