SHIEKA
JF-Expert Member
- Dec 20, 2011
- 8,240
- 4,263
Nimesoma kwenye habari kwamba Mkuu Mpya wa Mkoa wa Dar, Mh Paul Makonda ametoa agizo kwamba wamiliki wote wa silaha za moto wawasilishe silaha hizo polisi ili zihakikiwe.
Raia namba wani hapa tanzania Mh Rais JPM akawa mmiliki wa kwanza kukabidhi silaha anazomiliki ili zikaguliwe.
Silaha nazomiliki rais ni bastola moja na bunduki aina ya shotgun.
Kwa mawazo ya haraka nikaona kwamba umiliki wa silaha ulianza kipindi akiwa waziri.
Lakini sasa Mh huyu si waziri tena ni rais.
Ikulu ni mahali salama sana hakuna vibaka wala majambazi. Hizo silaha za JPM kwa nini aendelee kuzimiliki akiwa Ikulu? Je, zinasaidia katika ulinzi wa Ikulu? Hiki ndio kitu sielewi na naomba kuelezwa.