dogo kubwa
JF-Expert Member
- May 21, 2016
- 791
- 695
Nili delete kimakosa, kazi iliyokuwa kwenye word, nimetumia app ya imyphone anyrecover, kuzirudisha documents kwenye computer, maana hata kwenye recycle Bin, hazikuwemo.
Document, zimerudi, nikiangalia properties, zinaukubwa kama mara ya kwanza, ila nikifungua kwa microsoft word, zinasomeka kama hapa chini kwenye picha.
Msaada wenu, wataalam
Sent using Jamii Forums mobile app