Kuwa makini utaachwa feriMsaada wakuu jana nimetumi sms kutoka UK kuwa nimeshinda paundi laki kadhaa za Microsoft Promotion Awards ,je kuna ukweli kuhusu promotion hii
Kama wewe sio chizi unaweza je kushinda mchezo ambao huja shiriki?asanteni wakuu nime gogle aisee matapeli hao wamejaa hasa nigeria na wengine ni wauaji na majambazi tuwe macho wakuu