Dropout
JF-Expert Member
- Nov 16, 2017
- 641
- 533
Ulijua alipohamia Chadema atapeleka umbea kuhus CCM wanavyofanya et, ndo hasara ya kuwa shabiki maandazi, pole..Nilishangaa kidogo na sikuweka uzi sababu niliona ni mpenda mageuzi kwelikweli na kwenda kwake Chadema nilikuchukulia kuwapa support, ujuzi au siri ndogondogo zinazotumiwa an CCM ili washinde ukizingatia yeye alikuwa CCM miaka kadhaa na sikuhofia kama alifata maslahi maana kufikia kuwa na wadhifa wa Waziri Mkuu wa nchi una nafasi ya kupata vingi tuu.
Ila tangu waliohama CCM na kuhamia Chadema badala ya kufanya Chadema kisonge mbele badala yake kimerudi nyuma na kuvurugwa na kuchanyatika ukijumlisha na Zito bin kuhamia ACT bin Slaa kukimbia nchi na mapicha picha ya kila rangi....
Nashangaa sababu wakati huu ndo Chadema kinahitaji msaada ili walau nacho kisimame kifua mbele kupambana na uchaguzi, badala yake wanahama na kurejea walikotoka...
Sent using Jamii Forums mobile app