Kasie
Platinum Member
- Dec 29, 2013
- 22,801
- 43,177
- Thread starter
- #61
Haya majibu yako natamani hata kukuuma! Ombi lako ni batili ndugu mteja tazama vyema ombi lako kabla mhusika hajakutoa mapengo nakadharika!!.
Nakuambia babu yangu shababi nimekutajia tu wamng'ang'ania! Ukiongea nae utakuwa huna nafasi ya kusema no!! Huu mjadala naufunga utaniuzi nimeze simu bure..
Kenzy acha fujoooo
Babu na bibi wakiwa wanavuta ugoro wewe unaenda kuchuma mahindi shamba uyachemshe sie tumumunye.....aahahahahahaa kama nakuona ulivyonuna.