Nimeshikwa live

Numekumbuka mbali sana, kama nakuona live! Enzi za "Sheng"
Ha ha ha ha!
 
Sasa mazee kitu naweza kukusave we jifanye ka wenda kwa choo una tumbo ya kuhara ,vile huyo shosho anakufunika na shuka before profo ajabang kwa hyo rum ww uko ,kajishow kwa toilet till wamechek rum zote baadae unarud
 
hii lugha naipatia sana, dogo kakamatwa live akimla house girl tigo...
 
Ha ha ha haaaa! Jamaa anatuharibia lugha yetu... Anaingia anatoka.. Anaingia anatoka.. Daah ni sheedah. Ngoja nimpigie Nape asikuweke live.
 
Venyewe ipo kukukata wewe utuli!
 
Sasa wee nawe geuka inspector
Ufanye ukaguuu
 
Nashangaa wanaosema hawajaelewa
 
Dah nimetoka ndi ndi ndi kwenye hii thread
 
Duuh natamani nipate mkalimani wa hiyo ndude hapo juu..sijui ndio uhaba wa sukari sijamuelewa hata kidogo kabisaa kaboisaa..looh
Mi nimemuelewa kuwa amefumwa kwenye nyumba ya profess ambayo ilisemekana amekuja tz but usiku alirudi na kundi LA watu na wakaamua kutafuta kila chumba na ili wamkute yeye bado vyumba viwili tu na kupitia dirishani haiwezekani kwani jamaa ni kibonge .so anaomba ushauri afanyeje?
 
Kwa hiyo mpaka saa hii ukiandika bado uko chini ya bed?
 
Duuh natamani nipate mkalimani wa hiyo ndude hapo juu..sijui ndio uhaba wa sukari sijamuelewa hata kidogo kabisaa kaboisaa..looh
Nimemuelewa vyema huyu mshikaji, kataitika anaenda kufumaniwa soon.....
 
Tafuta manzi ya level yako sio mbochi ama ni mcute sana?
 
Oooooooooweeeh! Atakaeelewa anisummarizie tafadhali.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…