Nimeshangazwa na mengi lakini Kinana kavunja Rekodi

GAZETI

JF-Expert Member
Feb 24, 2011
5,277
6,673
Pengine ni kwa sababu si mfuatiliaji mzuri wa kampeni za CCM,
akiwa Ilala Kinana anaahidi kuwa iwapo watapewa Ridhaa ya
kuiongoza Tanzania atahakikisha wanapambana na MGAMBO wa
jiji ambao wamekuwa wakisumbua Mama Lishe na Wamachinga
alienda mbali zaidi kwa kusema kuwa Mgambo hao wamekuwa
wakifanya vibaya kwa kuwanyang'anya Wamachinga mali zao,
Hivyo kama wataingia madarakani basi Mgambo watakomeshwa!

Haya kwangu ni maajabu ya Karne........
Kumbe siku zote walikuwa wanajua kuwa kinachofanywa na mgambo si
sahihi, ajabu zaidi watu wenye Ubongo mithili ya ule wa Panzi wanapigia
makofi na kushangilia......!!?
 
Dah! hiyo kali, hivi mgambo ni aina gani ya kipindupindu
 
Ona ratiba yangu ya oktoba 25
1. Naamka mapema sana
2.nakunywa juice ya ukwaju kupata hasira
3.naangalia picha kadhaa za wamama wamelala zahanati wanne wanne
4.naangalia picha ya mwangosi
5.nakunywa tena juice ya ukwaju
6.nachukua kikatio
7.nachukua bic mbili mpya(tested kabsa)
8.naelekea machinjioni
 
Pengine ni kwa sababu si mfuatiliaji mzuri wa kampeni za CCM,
akiwa Ilala Kinana anaahidi kuwa iwapo watapewa Ridhaa ya
kuiongoza Tanzania atahakikisha wanapambana na MGAMBO wa
jiji ambao wamekuwa wakisumbua Mama Lishe na Wamachinga
alienda mbali zaidi kwa kusema kuwa Mgambo hao wamekuwa
wakifanya vibaya kwa kuwanyang'anya Wamachinga mali zao,
Hivyo kama wataingia madarakani basi Mgambo watakomeshwa!

Haya kwangu ni maajabu ya Karne........
Kumbe siku zote walikuwa wanajua kuwa kinachofanywa na mgambo si
sahihi, ajabu zaidi watu wenye Ubongo mithili ya ule wa Panzi wanapigia
makofi na kushangilia......!!?

mkuu sasa wewe hushangai mtu mkubwa kama kinana kuongea jambo ambalo hata mtoto anae zaliwa leo atamshangaa!

- TUKIINGIA MADARAKANI !!!!!!!!!!!!
Wakati wapo madarakani ! Ihi hatari tupu.

Yaani tunaongozwa na chama kisichojua kwamba kipo madarakani? Isasa ni maajabu ya karne.
 
Mkuu wanashangaza kwelikweli kwani hata hoja zao kwa sasa ni za wapinzani kuanzia MABADILIKO n.k tena inashangaza zaidi hata wao wanaahidi kueta maji, elimu bora, afya n.k. Eti leo wanashangaa dawa zinaisha hospitalini lakini kwenye maduka ya madawa zipo, wanashangaa jinsi tembo wanavyouwawa, wanashangaa kila wanachokifanya wenyewe, wanajishangaa hata wao wenyewe, wamebakiza neno moja tu MSITUCHAGUE.
 
Pengine ni kwa sababu si mfuatiliaji mzuri wa kampeni za CCM,
akiwa Ilala Kinana anaahidi kuwa iwapo watapewa Ridhaa ya
kuiongoza Tanzania atahakikisha wanapambana na MGAMBO wa
jiji ambao wamekuwa wakisumbua Mama Lishe na Wamachinga
alienda mbali zaidi kwa kusema kuwa Mgambo hao wamekuwa
wakifanya vibaya kwa kuwanyang'anya Wamachinga mali zao,
Hivyo kama wataingia madarakani basi Mgambo watakomeshwa!

Haya kwangu ni maajabu ya Karne........
Kumbe siku zote walikuwa wanajua kuwa kinachofanywa na mgambo si
sahihi, ajabu zaidi watu wenye Ubongo mithili ya ule wa Panzi wanapigia
makofi na kushangilia......!!?
Ndo kishasema sasa, wewe pasuka.
 
Eti wakiingia madarakani!!! Kwa hiyo sasa hivi chadema ndiyo ipo madarakani? Si wao ndiyo wenye mamlaka? Si waseme tu hakuna mgambo kukamata mali za wamachinga? Ni ujinga ujinga tu.
 
Angeulizwa kwan sasaivi serikali haina meno ? Au serikali imeshaanguka

mimi nafikiri baada ya ccm kuwa chama cha upinzani, kuna haja ya kurudisha chuo cha kivukoni.

Kuwa na viongozi sampuli ya kinana ni hatari tupu. Kiongozi hata hatambui na fasi ya chama chake kwamba ndio kinaongoza nchi?

Kuna mambo Ambayo hata kagame akitutukana ni sahihi kabisa.
 
Hiki chama kishakua chakavu na kimepitwa na wakati, Kimefikia hatua kinapoteza kumbukumbu chenyewe.
 
nimeshangaa yalivyo kuwa mazuzu yameanza kuipigia chadema kampeni kwa kutumia nembo ya m4c
 
Hapo ndo mjue matanzania yalivyomajinga na mengi na manawake huwa nayakuta yanabeba maji nasema yabebe tuu hakuna namna bana
 
Ccm hawajui kama wako madarakani. Jambo dogo kama hilo wameshindwa kulitekeleza na muda huu wakilitekeleza wanajua litageuka siasa tena itawakosesha kura.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom