siku hizi polisi mnaruhusiwa kulalamika?Habari zenu wakuu, najua huku Kuna watu Wana uelewa zaidi katika hili,
Nimeshangazwa na Polisi mwenye cheo kama Dcp Kuwa RPC, hali ya Kuwa kuna polisi ni ACP au SACP ni RPCs tena wengine ni ZPC kabisa, inakuwaje hii wataalamu
Mmoja wapo ni DCP MutafungwaDCP nani huyo ni RPC?ninavyofahamu ni kwamba ma-SACP wengi sasa hivi ni ma-RPC
DCP anamaanisha Deputy Commissioner of Police
ACP means Assistant Commissioner of Police
SACP means Senior Assistant Commissioner of Police
RPC means Regional Police Commander
ACP=Assistant Commisioner of PoliceMuwe mnaandika na long form za hayo majina sijui vyeo hivyo, siyo wote humu tuna uelewa nayo 🤒😎
RPC ni position sio cheo anaweza kuwa ni acp,sacp hata dcpRPC means Regional Police Commander
ila sio poa DCP na mkasi wake begani halafu anapelekeshwa na mkuu wa mkoa.RPC ni position sio cheo anaweza kuwa ni acp,sacp hata dcp
Kama unajua kingereza nimeandika kwa kiredu hapo juu kwahiyo utaelewa mkubwa na mdogo..Wekeni na maelezo kuwa huyo sijua Asp au Dcp n.k, cheo kidogo ni kipi na kikubwa kipi
DCP = Dicalcium Phosphate, nzuri kwa uimara wa mifupa ya mifugo yako!!🤣🤣Wekeni na maelezo kuwa huyo sijua Asp au Dcp n.k, cheo kidogo ni kipi na kikubwa kipi