Nimeshangaa sana serikali kuvunja nyumba za Kivule

pombe kali

JF-Expert Member
Joined
Jun 28, 2014
Posts
312
Reaction score
616
Maisha yalivyokuwa magumu bado serikali inavunja nyumba za watu kwa mtindo wa kuvizia mbaya zaidi siku ya kesi ilikuwa bado kaya mia tano kwa ghafla zitaenda wapi mbaya zaidi ni siku ambapo mkuu wetu wa mkoa anaendelea na ziara ya kero jijini nimesikitishwa kiukweli taratibu za umiliki ardhi bado zimekaa kimtego mtego mnasubiri watu wajenge muwabomolee kwa mara ya kwanza nimeichukia nchi yangu
 
Kabla ya kuisoma namba ulikuwa unaipendaje nchi yako??
 
'Nchi hii ilipofikia inahitaji Rais Mwenye Maamuzi Magumu' - Wanaharakati na Wanasiasa Uchwara 2005-2015
 
Usiichukie nchi yako. Tz iko pale pale wala haijatetereka hata robo inchi iweje uichukie? Uuchukie uamuzi wako ili 2020 ufanye maamuzi magumu. Chuki yako imesaidia nini wale waliokuwa wanalia?? Mimi nadiriki kusema, nimemchukia malaika Malick/Israeli mshika rungu la mauti. Alistahili ampige rungu dereva aliyetumwa kuufanya uovu huu akaacha kuibomoa hiyo ya aliye mtuma. Hofu ya Mungu ishaondoka ndani ya watu kabisa. Tumebaki wanyama tu hakuna tena binadamu.
 
Maisha yalivyokuwa magumu bado serikali inavunja nyumba za watu kwa mtindo wa kuvizia mbaya zaidi siku ya kesi ilikuwa bado kaya mia tano kwa ghafla zitaenda wapi mbaya zaidi ni siku ambapo mkuu wetu wa mkoa anaendelea na ziara ya kero jijini nimesikitishwa kiukweli taratibu za umiliki ardhi bado zimekaa kimtego mtego mnasubiri watu wajenge muwabomolee kwa mara ya kwanza nimeichukia nchi yangu
Mkuu unayo hati?
 
Mkuu unayo hati?
Sina hati mkuu, taratibu za kutafuta hati nilianza miaka mitano iliyopita, nikaambiwa nisubiri mradi wa serikali au niwashawishi majirani kwani sitaweza kumudu gharama peke yangu nimeliwa hela nyingi mpaka kibanda nilichoweka nijihifadhi mimi na familia yangu kimebomolewa jana tumelala kwenye madarasa ya shule sioni sababu ya kuendelea kuishi ila kwa sababu walionilia hela nawafahamu nadhani tegemea kusikia breaking news siku chache zijazo
 
kiukweli hii nchi imekuwa kama wanaoendesha nchi ni wanyama hawajali wananchi wao kabisa alafu mtu akiitwa majina siyoyofaa unaitwa mchchezi.

kiukweliinauma sana pia tena nasikia kuna eneo jengine lipo mbioni kubomolewa wachina wamenunua.sa sikumbiki yule mzee kalitaja wapi.
 
Mlivyoambiwa kuwa mtaishi kama mashetani nadhani hamkuelewa.
 
Wapo watakaokuja kuwabeza, kuwadharau na kuwalaumu wale wote waliovunjiwa nyumba zao na kuwasifu wabomoaji.
 
Sina hati mkuu, taratibu za kutafuta hati nilianza miaka mitano iliyopita, nikaambiwa nisubiri mradi wa serikali au niwashawishi majirani kwani sitaweza kumudu gharama peke yangu nimeliwa hela nyingi mpaka kibanda nilichoweka nijihifadhi mimi na familia yangu kimebomolewa jana tumelala kwenye madarasa ya shule sioni sababu ya kuendelea kuishi ila kwa sababu walionilia hela nawafahamu nadhani tegemea kusikia breaking news siku chache zijazo
Pole sana mkuu. Ni mitihani utafaulu tu.
 
Back
Top Bottom