Unique Flower
JF-Expert Member
- Apr 19, 2019
- 12,841
- 25,359
🤣🤣🤣Hauna dili PIMA VVU ISHI
Angewajali.kama.angewashika hawa watu wanaokwamisha wasichana shulw nakuwapa majukumuTunamshukuru Mama Samia kwa kuwajali Wanawake na kuwaamini,,naamini akiliona hili atalifanyia kazi Kisawasawa!!
UMEFURAHI RAFKI
Umenifurahisha sana mwanangu mwenyeweUMEFURAHI RAFKI
Kwa lipiUmenifurahisha sana mwanangu mwenyewe
Msikie huyoNaona ni bora aliyejitolea kigezo cha kusema
"awe na maziwa mengi "
Huyu mwamba ametisha anataka awe anakamua kabisa mnanywea uji.
Unasura kama mzibua vyoo 😅🤣🤣🤣 wee huyu bibie hawezi kuwa nawewe hata uwe tajiri kiasi gani
Sasa mtawapatia wapi..?? Naasilimia kubwa mmewaharibu??Sasa bidada uliona wapi mwanafunzi anarudia somo alilo faulu??
Kila mwanaume kiundani anatafuta ile shepu ya zari , sura ya nandy nk you list ni ndefu tu, sema tu hazipatikani kwa siku hizi .
Yule duli kijana wa mjini kajichanga ana duka lake mtaji umezidi 10M unataka aende na kidem kifua kimelala kumi na mbili jioni kweli ???
Hata ww ulipo ungechupika msambwanda lenye balaa, kifua saa sita mbona tungepaki range zetu tukipishana kila mtu mfuko wake ujisemee mwenzangu???
Kila mtu ni vita vyake, usiwapangie vijana wa kizazi kipya diet yao, wale chocolate au au light skin bora kajipanga kwani nni .
Mambo ni mengi masaa ndiyo machache ndo wanasema siku hizo
Na ww pia hunitak 🤣🤣🤣Unasura kama mzibua vyoo 😅🤣🤣🤣 wee huyu bibie hawezi kuwa nawewe hata uwe tajiri kiasi gani
Kuna don fulani na malorry yake msukuma alinipa story nlicheka sana , enzi za kuamini ke hawajui mambo yamepita .Sasa mtawapatia wapi..?? Naasilimia kubwa mmewaharibu??