NZURI PESA
JF-Expert Member
- Mar 25, 2011
- 5,958
- 2,966
nahis huyapenda ma ova saiziMimi nalia na mafundi wa nguo wa ta pombe, hivi huwa anatuma msaidizi wake kupima au? check mikono na mabega. Please reception matters when it comes to our presider.
Wengi walitamani kusikia yanayoimbwa na wapinzani kutoka kwa Rais Mstaafu!Mzee kacheza na lugha hapo
Kufanya kazi bado sentensi tata kidogo, kwani hawezi maanisha kazi mbaya?Katika ziara yake Mzee Mwinyi kumtembelea rais leo baada ya mwaka mmoja, nimeshangaa sana baada ya Mzee ruksa huyu kummwagia sifa rais nyingi mno.
Mshangao wangu ulizidi pale aliposema kuwa rais Magufuli amefanya kazi kubwa kwa mwaka mmoja zaidi ya kazi walioifanya wao kwa miaka 30 yaani Mwinyi, Mpaka na Kikwete.
Hapo ndio nikahisi maji (mahaba) yamezidi unga maana sio sifa za kawaida labda kauli hiyo iwe na maana nyingine kinyume chake.
Kazi ya mwaka 1 = miaka 30? mmmh..!!
Hata mm niliwaza hivyo hapaswi kumkandia hadharani..na ndio ethics zinavyosemwa.ht mimi siruhusiwi kumgombeza au kumkandia mfanyakazi mwenzangu mbele ya mgonjwa...namsifia then tukiwa chemba ni kichambo...hapana pale kaenda kumpa maneno maana anaona anaptea hvo usishangae kuona jina la kitabu zuri lakin kitabu chenyew ni kibaya.
In pres..voice.."We Sheria ngowi..nimesema MAMIKONO yawe MAKUBWA."Mimi nalia na mafundi wa nguo wa ta pombe, hivi huwa anatuma msaidizi wake kupima au? check mikono na mabega. Please reception matters when it comes to our presider.
Chiongeji neno. Sheria alikuwa wa kijana wa msata na huyu pia? Mabatini bwana huyu au?In pres..voice.."We Sheria ngowi..nimesema MAMIKONO yawe MAKUBWA."
Kuntu.Nadhani Mzee Mwinyi huenda alikuwa akimaanisha kazi ya kuharibu nchi na kuwatesa watanzania.
Mzee Mwinyi ni mswahili, huwa ana misemo yake ya Nahau, na sisi werevu tumemwelewa.
Nahisi Mzee Mwinyi alienda Ikulu kumpa ukweli wa mambo mengi mabovu anayofanya Magufuli, na ili kulinda heshima ya rais wetu na hapo hapo kupotezea ili tusihisi kile alichokwenda kumwambia, ndio imebidi Mzee Mwinyi atokee kauli hiyo.
hahahaha usishangae inawezekana anamwambia kwa kinyume.... mwinyui juzi kati si alisema usukani hakuna...Katika ziara yake Mzee Mwinyi kumtembelea rais leo baada ya mwaka mmoja, nimeshangaa sana baada ya Mzee ruksa huyu kummwagia sifa rais nyingi mno.
Mshangao wangu ulizidi pale aliposema kuwa rais Magufuli amefanya kazi kubwa kwa mwaka mmoja zaidi ya kazi walioifanya wao kwa miaka 30 yaani Mwinyi, Mpaka na Kikwete.
Hapo ndio nikahisi maji (mahaba) yamezidi unga maana sio sifa za kawaida labda kauli hiyo iwe na maana nyingine kinyume chake.
Kazi ya mwaka 1 = miaka 30? mmmh..!!
Yaani ni sawa unakutana na mtu anakwambia umefanana na mtu fulani mwenye hadhi ya juu sana au umependeza sana kumbe ana kung'ong'aaa kisogo.yani mateso tuliopata kwa mwaka mmoja ni zaidi ya Yale ya miaka 30 iliopita
Kweli aiseee japo Mimi ni Muha lakini nimekuelewaZilongwa Mbali Zitendwa Mbali