johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 104,319
- 183,607
For presidency!Tundu Lissu most wanted
Kachanganyikiwa msamehe bureMbona unachanganya mada mkuu...
Htr sn sn...Kachanganyikiwa msamehe bure
Huyu aliyesema atapeleka baharia ya Hindi dodoma?Mkuu saizi hata vijiji vya ndani kabisa kuna upinzani achana na maeneo kama mpwapwa.
Chagua Hashimu Rungwe kwa maendeleo ya afya yako na familia.
Pia atafuta mitaala ya elimu isiyofaa na kuweka ile yenye manufaa tu.(i.e kuliko kuwafundisha wanafunzi logarithm isiyo wasaidia chochote ni bora wafundishwe kubeti)Huyu aliyesema atapeleka baharia ya Hindi dodoma?