Hehee! Wewe ni kichwa maji kweli! Asipooa atajojolea wapi?Basi usioe...,
Daah hiyo ni mahali auHapo wamekupiga..ilitakiwa isizidi 32,350/= Tsh [emoji15] [emoji15] [emoji23]
Sasa kama mahar lak6 anaona ngumu, unategemea nn, angekutana na bint anayetaka ka vitz je...anyway siku hz papuch zipo za bei chee atatumia hizo!!Hehee! Wewe ni kichwa maji kweli! Asipooa atajojolea wapi?
Hiyo kubwa, pande za Ntrwara jogoo tu unaweza chukua nzigo.Daah hiyo ni mahali au
Ha ha ha ha kweli wewe wa mtwara "nzigo" teh teh teh hadi raha.Hiyo kubwa, pande za Ntrwara jogoo tu unaweza chukua nzigo.