Hawa wahuni natamani CAF wapate mdhamini mwenye Rangi NyekunduSWALI: LOGO registered ya GSM ina rangi gani? LOGO ya NBC ina rangi gani?
Mbona YANGA MLIGOMEA KUVAA REGISTERED LOGO with their original colors?
Kaa kwa kutumia Meku
Alikuwa anahisi ina harufu ya kinyesiWakuu habar zenu
Watalamu wa mambo ya mpira Naomba mnijuze
itikad za ushabiki wa mpira zinamahusiano gani na rangi?
Kitendo cha Barbara kutaaa kutumia mic ya njano mm naona Kama ni jambo la ajabu
Kama wewe mshabiki wa SIMBA au YANGA basi swala la kutotumia rangi ya timu pinzan kwang mm naona ni ufinyu wa fikra
Naomba nielimishwe kama nimekosea
BARBARA WA SIMBA AIKATAA MIC YA NJANO
View attachment 2314717
Naomba nisaidie wee mwenzangu, hawa nyani na sokwe wamechanganyikiwa vibayaaa mno.Hiyo inazidi ile ya kubadili rangi ya logo ya sponsor?
Hii mijitu vichwa vyao ni vibuyu vya kuhifadhia kinyesi tu.Ila hukushangaa Yanga SC walivyokataa Kuvaa Jezi za waliokuwa Wadhamini wa Ligi Kuu za Vodacom ambazo zilikuwa na sehemu ndogo mno ya Rangi Nyekundu katika Jezi zao kwa Vilabu vyote.
Kumbe aliyekuwa Kocha wenu Mkuu Yanga SC Luc Eymael Raia wa nchini Belgium aliposema ( ipo YouTube ) kuwa Yanga SC ni Nyani, Mbwa na Sokwe wala hakukosea.
Mnafiki mkubwa Wewe.
Tatizo ni kuwa hana akili za kuelewaUnajua hapo kuna utani leo mtaniwako ukava nguo aliwai vaa yeye zamani alaf wewe vaa sasahiv lazima apate njia ya kukutania so swala hilo ktk simba na yanga lipo hivyo okey natumaini umeelewa
Mkuu punguza maneno Makali si umeona sasa ulikuwa Kifungoni kwa BAN na umeachiwa Huru leo tu Umeharibu tena na Kurejeshwa Gerezani kwa kupewa BAN tena.Hii mijitu vichwa vyao ni vibuyu vya kuhifadhia kinyesi tu.
Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app
Acha ampe dozi yake...Usichukue Kila Kitu Serious mno. Barbra alikuwa anafurahisha Baraza TU. Ni utani TU amefanya. Haina maana kwamba ingekuwepo Mike ya Njano TU asingehutubia. Sana Sana umsifu Kwa kuona opportunity ya kufanya utani na akaichamkia haraka!
Yeye Sio wale waliochachamaa na Logo!