Nimeshamtambulisha nyumbani lakini.........

Mussa waukweli.

JF-Expert Member
Joined
Feb 28, 2013
Posts
534
Reaction score
319
hi wana jf naomben ushaur wenu...
Kuna dada nilikutana nae maeneo ya mwanza stendi alikuwa anatoka dzm, nilimpenda xn nikaamua kumuomba namba yake akanipatia tukawa tunachati na mwisho wa siku 2kakubaliana tuwe wapenzi
Nimekuwanae kimahusiano miezi mitano akadai nimpeleke nikamtambulishe nyumban kwe2 na mm sikukataa nikampeleka wazaz wng wakamuona
Siku zlvyozid kwenda mbele akasema aende dar kuwasalimia ndugu zake sikumkataza akaenda
kumbe huko dar kuna mpenz wake alyekuwaga nae kipnd akiwa huko na saiv ananitumia msg kuwa hanitaki na hanipend simsumbue
JAMANH NFANYAJE NA WAKAT TAYAR NIMESHAMTAMBULISHA NYUMBAN?
 
Waambie tu ukweli...huna haja ya kumng'ang'ania mtu asiyekuhitaji tena hata kama bado una mapenzi kwake.
 
Mtu asiye huru kwao ni wa kuogopwa kuliko silaha za kemikali!!!!!!

Hongera mdada kwa kumkataa zombie huyu
 
Mwanamke hakutaki ya nini kumbembeleza wakati wamejaa kila kona. Wenzako tumeshatambulisha kibao na hakuna hata aliyekua ktk malengo sembuse huyo mmoja?
 
je unadhan ulfanya kosa kumtambulisha? je,unadhan utafanya kosa kumtambulisha mwngne? je,unadhan ni vibaya ukiwaambia wazaz kuwa umepgwa chini? tafakar kwa kina...
sidhan km hili jambo linaweza umiza kichwa cha mtu.
 
wewe umeshatoswa sasa tafuta demu mwingine kama miezi yote mitano umeshindwa kufanya kitu cha maana,basi ujue kakuona wewe hufai pengine una upungufu wa nguvu za kiume.Tulia na ujipange upya
 
duh hahahah noma xn.
 
hi wana jf naomben ushaur wenu...
Kuna dada nilikutana nae maeneo ya mwanza stendi alikuwa anatoka dzm, nilimpenda xn nikaamua kumuomba namba yake akanipatia tukawa tunachati na mwisho wa siku 2kakubaliana tuwe wapenzi
Nimekuwanae kimahusiano miezi mitano akadai nimpeleke nikamtambulishe nyumban kwe2 na mm sikukataa nikampeleka wazaz wng wakamuona
Siku zlvyozid kwenda mbele akasema aende dar kuwasalimia ndugu zake sikumkataza akaenda
kumbe huko dar kuna mpenz wake alyekuwaga nae kipnd akiwa huko na saiv ananitumia msg kuwa hanitaki na hanipend simsumbue
JAMANH NFANYAJE NA WAKAT TAYAR NIMESHAMTAMBULISHA NYUMBAN?

Dawa ya kumkomesha ni wewe kujinyonga!!
 
Nimeiona Hofu yako iko juu ya wazazi wako,
Sasa Waonyeshe Wazaz Wako, Hiyo Meseji, Na Uhakika Watakushauri Vyema.
 
Back
Top Bottom