Nimeshamtambulisha nyumbani lakini.........

Waeleze wazazi wako kuwa yule mchumba wangu nimeamua kuachana nae kwa kua nimalaya anaweza niletea matatizo.
 
Ukisikia PAAA... Ujue imekukosa shukuru chapa lapa,umejifunza na kukua kiroho

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Kwani mlifunga ndoa au kutambulishana tu??? Endelea Na maisha ,shukuru amekuambia ukweli mapema maana umeokoa muda
 
hi wana jf naomben ushaur wenu...
Kuna dada nilikutana nae maeneo ya mwanza stendi alikuwa anatoka dzm, nilimpenda xn nikaamua kumuomba namba yake akanipatia tukawa tunachati na mwisho wa siku 2kakubaliana tuwe wapenzi
Nimekuwanae kimahusiano miezi mitano akadai nimpeleke nikamtambulishe nyumban kwe2 na mm sikukataa nikampeleka wazaz wng wakamuona
Siku zlvyozid kwenda mbele akasema aende dar kuwasalimia ndugu zake sikumkataza akaenda
kumbe huko dar kuna mpenz wake alyekuwaga nae kipnd akiwa huko na saiv ananitumia msg kuwa hanitaki na hanipend simsumbue
JAMANH NFANYAJE NA WAKAT TAYAR NIMESHAMTAMBULISHA NYUMBAN?
Hamna shida. Tafuta mwingine. Watu tulishatoa na posa kabisa na tukapiga chini sembuse kitambulisha? Wengine wanaoa na wanaacha vile vile. Najua kalazimishwa kusema hivyo ILA mwache aende
 
Back
Top Bottom