Nimeshafungua web yangu ila naitaji msaada zaidi

Nimeshafungua web yangu ila naitaji msaada zaidi

ladyfurahia

JF-Expert Member
Joined
May 10, 2011
Posts
14,758
Reaction score
9,592
habarini

Nimeshafungua Web yangu kwa kuwatumia webstart ila kuna
tatizo nimelipata wakati nafuata yale maelekezo yao
kuna kitu nimeshindwa kukifanya nacho ni kujiregistere kwenye domain
naomba msaada wenu

thanks
 
kujiregister unaweza kuwasiliana na kampuni zinazofanya kazi hiyo kama Extreme web technologies..search google utapata contact zao..
 
Mwandikie C6 atakusaidia hiyo domain ndani ya masaa kadhaa tu. Na kwanini umemua kutumia webstart?
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom