Huzurungi Tz
Member
- Sep 5, 2020
- 12
- 5
Naomba niseme kuwa mimi nimeshafika naombeni nafasi nami nitambe humu ndani...
Hilo swala dogo saaana Ila kama kuna V.V.I.P seat ntakaaa tena kWa amani tu Mkuu...Hakikisha umevaa nguo zako za kijani na barua kutoka kwa mjumbe wa tawi alafu kaa kule chini angalia jukwaa
Asante saaanabila shaka umeletwa kwa basi la kijani, btw karibu sana tukupe dawa.

Mbona Aisee?Aisee
Asante saana BabuKaribu sana JF mjukuu wetu hapa kwa GT ufaidi.

ila nmekuja na ugolo na alkasuswiKwa malipo ya nauli na pesa ya chips kila siku nicheki PMNaomba niseme kuwa mimi nimeshafika naombeni nafasi nami nitambe humu ndani...
KaribuuuuuuNaomba niseme kuwa mimi nimeshafika naombeni nafasi nami nitambe humu ndani...