City Rider
JF-Expert Member
- Jul 31, 2022
- 402
- 1,218
Muongozo upi? get your a**s off the ground and start a business of your interestKila la heri, watakuja kukupa mwongozo.
Ahsante in ADVANCEKila la kheri
Ahsante natamani watu wengi walijue hiliSafi saana mkuu ili ufanikiwe kufeli Ni sehemu ya darasa
its impossible my friend tafuta boss akuajiriNimesoma hii stry kwa hofu.. nina jambo langu nimeliandaa ni zito.. staki kabisa stry za kufail kufanya tena kufail.. natamani liende tu. Mtaji wangu urudi niukuze maradufu. Way to january god bless.
Real business men know thisWatu wa Kherson tumekusoma, Kila la heri.
Nimetoka kwenye ajira 3 years ago friend. Mimi ni mjasiriamali sasa.. first capital is to take care of.. go hard or go home.its impossible my friend tafuta boss akuajiri
you're 100% rightNimetoka kwenye ajira 3 years ago friend. Mimi ni mjasiriamali sasa.. first capital is to take care of.. go hard or go home.
Man this is huge keep goingI am glad that i have failed and experienced a demise in business at my early 20’s i have a long way to go until i hit 25 may God bless[emoji1488]
Mtu mwenye moyo mwepesi hawezi kuelewaWe acha tu mm dem alianiacha akaona mm namikosi kama nimerogwa ila nlikua nasema tu mm spata hasara ila napata lesson nashkuru now sio kama zaman vitu nagusa vinaenda
Kama ni mgeni kwenye biashara kufail hakukwepeki kwasabu huna uzoefu cha kufanya kama una mtaji wa mil 5 tafuta biashara ya mtaji mdogo kama laki 5 hivi au mil 1 ili ukifail ile iliyobaki itakusaidia kuinuka tena ukiwa na uzoefu usiweke mayai yote kwenye kapu moja.Nimesoma hii stry kwa hofu.. nina jambo langu nimeliandaa ni zito.. staki kabisa stry za kufail kufanya tena kufail.. natamani liende tu. Mtaji wangu urudi niukuze maradufu. Way to january god bless.