amu
JF-Expert Member
- Aug 8, 2012
- 16,167
- 31,351
Hongera mkuu bado siku chache uitwe baba, mimi pia mimba naitamani sana yaani naitamani na naitaka mno nataka kumuamsha mjamaa saa 8 usiku akanfatia burger, na juice ya juma sasa ole wako achanganye ha ha ha
Bora wewe kaka watu tunakuna nazi; blenda tushajua kuzitumia balaa; mpira siku hizi ni home tu utoke unajipenda!! Yaani hadi siku za kwenda leba tunahesabu ziishe maana ni adhabu; mchakamchaka nyumba haikaliki mjomba!!