Unforgettable
JF-Expert Member
- Aug 1, 2019
- 5,582
- 12,444
DuhWewe ni mpumbavu , msengee kabisa maninaa
UNAOKOTA MALAYA HUMU ASOJITAMBUA, ANAKUENDESHA WEEE, UNAVUMILIA.
UMEFANIKIWA KUMUACHA ,ALAFU ANAKUJA KUKULETEA UMALAYA WAKE WAZIWAZI
"ET ANAOMBA HELA ZA SHULE?"
HILO DUBWASHA LIMEKUONA WEWE NI BWEGEEE JINGAAAA FALAAAAAA
[emoji116][emoji116]
Baada ya Miezi kadhaaa ya kuachanaa...simu inapigwa
[emoji116]
Dubwasha.... Halo
Robert ......Halo mambo
Dubwasha.... Poa my zasiku
Robert .... Nzuri tu ,niambie
Dubwasha.... My sorry ila jamaan ninashida na hela ya kumpeleka mtoto shule
Robert....mmmhhh sawa lkn unakumbuka ulivyonitenda..mimi nilikua nakupenda sanaaa, nmekujali mnooo, yaan nilitaka ujione wee ni malaika lkn mmmhh
Dubwasha.... Jamaan My hayo tuyaache
Robert...poa ngoja nitaangalia alafu nitakujuza.( huki kichwan akiwaza kua demu akija kufata helaa, atampa na mbususu ajipigiee[emoji23][emoji23][emoji23]) ..........
Dubwasha... Anajisemea ( Bwege weweee nakuja nikiwa hedhi[emoji23][emoji23][emoji23])
Mimi Carlos The Jackal nikifanya Analysis ya hayo mazungumzo nakuja namambo haya
[emoji117]Robert toka atemane na demu, hajawahi kutia hata siku moja.[emoji23]
[emoji117]Robert ..sio tu aliacha, bali aliacha kwa sababu demu aliimiza sana kuachanaaa nahii nibaada ya Mwenye mtoto kumwambia achika, uje tulee mtoto.
[emoji117]Robert ..ni wanaume madome zege, kutongoza ni waoga..ndio maana aLitafuta mwanamke humu JF.
[emoji117]Robert anaweza kua kila mwanamke alokua naye alimkimbia .
[emoji117]Robert sio kwamba aliamua kutafuta mwanamke humu ,hata kama anamtoto yeye anabeba, sio kwasababu ana UPENDO bali hakua na chaguo jingine.
[emoji117]Demu alikua na stress nyingi za maisha, kuwaza kulea mtoto, maisha magumu sanaa kula, kuvaaaa ( enzi hizo vyuma vilikaza)
[emoji117]Demu ni kanamke ivi kembamkemba kana micheruko sio ya nchii hiii, yaan ni tulw tudemu tinavyoshindia chips au chai ya asubuhi, lkn kamejaza CD za tamthiliya na remote kanashikilia masaa 24.
[emoji117]Demu alikua anampelekesha humo ndani.
Kwa haya machache niseme kua, DEMU NI KIBOKO YA ROBERT...
ILA KWA WANAUME KAMA SISI..DEMU NI KAMALAYA KAMOJA KAPUMBAVU KAMEJAZA PUMBA KICHWANI.
Mie ni wa kweliHodi wakuu!
Samahani kwa hili lakini inabidi niseme , mwaka 2017 nilileta thread moja hapa kwenu ya kutafuta mke nashukuru mungu nilifanikiwa , taratibu nikafuata akawa mke rasmi , yeye alikuwa na mtoto mmoja nilimpenda hivo hivo nikawa namlea Kama wangu , kiukweli nilimshukuru mungu kwa kukutanishwa naye !
Mwaka 2019 ndipo true colour yake halisi nikaitambua akawa ni mwanamke mwenye maneno mengi Sana na simu yake ikawa busy Sana nikaja tambua kumbe ana Yule mshikaji wake aliyemzalisha tayari wanawasiliana na tabia yake ikawa chafu Sana kiufupi nilipitia matatizo makubwa Sana kwenye ndoa hiyo Familia ikaingilia kidogo Mambo yakawa sawa huwezi amini nilimthamini sana yeye na ndugu zake pia lakini hakujali kabisa.
Ndgu zangu Mimi na wazazi wangu nikawa naumia Sana nikiamini ipo siku atabadilika nikawa nanunua zawadi napeleka nyumbani nadai kuwa mke wangu ndo kanunua kwa ajili yao kumbe hakuna nilifanya ivo ili kuwaaminisha wazazi kuwa anawapenda Sana lakini haikuwa ivo, mwaka huu January nilipata Safari ya kwenda Congo DRC mwanamke akarudia tabia zake za mwanzo ikafikia hatua akawa anatuma Text kwa leo anaenda kwa mwanamme so nisimsumbua na mengine mengi , nimerudi mwezi August moyo wangu ukiwa na maumivu makubwa Sana ila tayari nilikuwa na uamuzi wa kuachana nae !
Kweli nilifanikiwa Hilo nashukuru Mungu ndani ya muda mfupi Sana nimemsahau lakini kubwa lililonifanya kuja kwenu hapa jamvini Ni kuwa anapiga simu za kuomba pesa za shule za Yule mtoto ili hali Mimi so biological father ,but majina yote mtoto anatumia yangu na ananijua Mimi ndo baba yake , je nifanye nini wadau juu ya hili ndg zangu , niendelee na utaratibu huo au nimkaushie ?
Je wanawake wakweli wapo wapi ? au ndo utandawazi huu!
Nawasilisha.
Jamaa ni Bwege Pro MaxHESHIMA NI KITU CHA MSINGI SANA KWENYE MAHUSIANO.
YAAN MWANAMKE ANATAKIWA KUA HESHIMA KWAKO , AMA UPO NAYE USO KWA USO, UPO NAYE MBALI
MWANAMKE ANATAKIA KUKUHESHIMU AKIJUA KUA WEWE NI MWANAUME WAKE.
HILO MSIWE MNAJADILIANA NAO [emoji109]
NDOA NYINGI ZINAZODUMU NI HIZI ZA WANAUME WASOTABIRIKA..LEO UNAFOKA. KESHO UNAMBEBISHA. KESHO MAKOFI, MNANUNIANA WIKI NZIMA, MNARUDI KUA SAWA.
LKN NYIE WA BEBI BEBII BEBII WANGU, BEBIII NAKUPENDAA, BEBIII VILE..BEBI UKINIACHA NITAKUFAA, BEBI VILEEE[emoji23][emoji23][emoji23] [emoji117]MTAKUFA MAPEMA.
USIUZE UANAUME WAKO KWA MWANAMKE , USIUZE UKUBWA WAKO KWA MWANAMKE, AWE ANAKUZIDI PESA, ELIMU
KAMWE USIUZE UANAUME WAKO.
Super bwege fa l a huyo m@ ma e zake, yaani nimeona uzi mpaka nikapandwa na wazim.Jamaa ni Bwege Pro Max
Hahahaahahahahahahahahahahahahaha mku inaonyesha jinsi gani umeguswa na upuuzi wa huyu jamaa. Angekuwa karibu na wewe muda huu sijui ingekuaje?. Sema usisagau uwepo wa visa vya kutungaWewe ni mpumbavu , msengee kabisa maninaa
UNAOKOTA MALAYA HUMU ASOJITAMBUA, ANAKUENDESHA WEEE, UNAVUMILIA.
UMEFANIKIWA KUMUACHA ,ALAFU ANAKUJA KUKULETEA UMALAYA WAKE WAZIWAZI
"ET ANAOMBA HELA ZA SHULE?"
HILO DUBWASHA LIMEKUONA WEWE NI BWEGEEE JINGAAAA FALAAAAAA
[emoji116][emoji116]
Baada ya Miezi kadhaaa ya kuachanaa...simu inapigwa
[emoji116]
Dubwasha.... Halo
Robert ......Halo mambo
Dubwasha.... Poa my zasiku
Robert .... Nzuri tu ,niambie
Dubwasha.... My sorry ila jamaan ninashida na hela ya kumpeleka mtoto shule
Robert....mmmhhh sawa lkn unakumbuka ulivyonitenda..mimi nilikua nakupenda sanaaa, nmekujali mnooo, yaan nilitaka ujione wee ni malaika lkn mmmhh
Dubwasha.... Jamaan My hayo tuyaache
Robert...poa ngoja nitaangalia alafu nitakujuza.( huki kichwan akiwaza kua demu akija kufata helaa, atampa na mbususu ajipigiee[emoji23][emoji23][emoji23]) ..........
Dubwasha... Anajisemea ( Bwege weweee nakuja nikiwa hedhi[emoji23][emoji23][emoji23])
Mimi Carlos The Jackal nikifanya Analysis ya hayo mazungumzo nakuja namambo haya
[emoji117]Robert toka atemane na demu, hajawahi kutia hata siku moja.[emoji23]
[emoji117]Robert ..sio tu aliacha, bali aliacha kwa sababu demu aliimiza sana kuachanaaa nahii nibaada ya Mwenye mtoto kumwambia achika, uje tulee mtoto.
[emoji117]Robert ..ni wanaume madome zege, kutongoza ni waoga..ndio maana aLitafuta mwanamke humu JF.
[emoji117]Robert anaweza kua kila mwanamke alokua naye alimkimbia .
[emoji117]Robert sio kwamba aliamua kutafuta mwanamke humu ,hata kama anamtoto yeye anabeba, sio kwasababu ana UPENDO bali hakua na chaguo jingine.
[emoji117]Demu alikua na stress nyingi za maisha, kuwaza kulea mtoto, maisha magumu sanaa kula, kuvaaaa ( enzi hizo vyuma vilikaza)
[emoji117]Demu ni kanamke ivi kembamkemba kana micheruko sio ya nchii hiii, yaan ni tulw tudemu tinavyoshindia chips au chai ya asubuhi, lkn kamejaza CD za tamthiliya na remote kanashikilia masaa 24.
[emoji117]Demu alikua anampelekesha humo ndani.
Kwa haya machache niseme kua, DEMU NI KIBOKO YA ROBERT...
ILA KWA WANAUME KAMA SISI..DEMU NI KAMALAYA KAMOJA KAPUMBAVU KAMEJAZA PUMBA KICHWANI.
Umenena mkuuUkimwona mwanamke mzuri ameachika utajuliza jamaa kaacha mwanamke mzuri hivi ukimuoa ndio utajua kwa nini jamaa alimuacha
Sent from my SM-A260F using JamiiForums mobile app
POLE SANA! ILA NATAMANI NIONE BEHIND THE SCENE YKO..! HYO DADA NAYE AZUNGUMZE KUHUS WW.😟Hodi wakuu!
Samahani kwa hili lakini inabidi niseme , mwaka 2017 nilileta thread moja hapa kwenu ya kutafuta mke nashukuru mungu nilifanikiwa , taratibu nikafuata akawa mke rasmi , yeye alikuwa na mtoto mmoja nilimpenda hivo hivo nikawa namlea Kama wangu , kiukweli nilimshukuru mungu kwa kukutanishwa naye !
Mwaka 2019 ndipo true colour yake halisi nikaitambua akawa ni mwanamke mwenye maneno mengi Sana na simu yake ikawa busy Sana nikaja tambua kumbe ana Yule mshikaji wake aliyemzalisha tayari wanawasiliana na tabia yake ikawa chafu Sana kiufupi nilipitia matatizo makubwa Sana kwenye ndoa hiyo Familia ikaingilia kidogo Mambo yakawa sawa huwezi amini nilimthamini sana yeye na ndugu zake pia lakini hakujali kabisa.
Ndgu zangu Mimi na wazazi wangu nikawa naumia Sana nikiamini ipo siku atabadilika nikawa nanunua zawadi napeleka nyumbani nadai kuwa mke wangu ndo kanunua kwa ajili yao kumbe hakuna nilifanya ivo ili kuwaaminisha wazazi kuwa anawapenda Sana lakini haikuwa ivo, mwaka huu January nilipata Safari ya kwenda Congo DRC mwanamke akarudia tabia zake za mwanzo ikafikia hatua akawa anatuma Text kwa leo anaenda kwa mwanamme so nisimsumbua na mengine mengi , nimerudi mwezi August moyo wangu ukiwa na maumivu makubwa Sana ila tayari nilikuwa na uamuzi wa kuachana nae !
Kweli nilifanikiwa Hilo nashukuru Mungu ndani ya muda mfupi Sana nimemsahau lakini kubwa lililonifanya kuja kwenu hapa jamvini Ni kuwa anapiga simu za kuomba pesa za shule za Yule mtoto ili hali Mimi so biological father ,but majina yote mtoto anatumia yangu na ananijua Mimi ndo baba yake , je nifanye nini wadau juu ya hili ndg zangu , niendelee na utaratibu huo au nimkaushie ?
Je wanawake wakweli wapo wapi ? au ndo utandawazi huu!
Nawasilisha.
Nashindwa kuelewa siku hizi tuna wanajeshi wazembe namna hii.Hodi wakuu!

Hakuna kitu kama hiki,kamwe.Hakuna mkamilifu Duniani samehe Maisha yaendelee
Inamana huyu Ni solja duh basi kuna WALAKIN mahali....Mkaushie kama alikuwa anawasiliana na kukutana na baba wa mtoto si wamtunze mtoto wao majina sio ishu.
Mblock kila sehemu, akija mkate mabanzi mixer mitama kama mwizi kua kama true soldier that you are, amejua umerudi na mpunga wa UN- PEACE KEEPING ndo anataka matunzo ya mtoto wake. Shenzitype kabisa
hahaha mkuu una mijimanenoLIJAMAA LIMENIUDHI MNOOO, NMEUMIAA , NATAMAN HILO DUBWASHA LAKE NDIO LINGEKUTANA NAMM!
KWA HAKIKA LINGEJUTA 7 MARA 70
HUWEZ KUTA MWANAUME WA KANDA YA ZIWA, ANAHANGAIKA HIVI
YAAN NILIKUA TWITA NAFATILIA KESI YA MBOWEE
NIKASEMA NIINGIE JF..LA HAULAAAA NAKUTANA NA LIJIUZI LIMENICHAFUAAA ,NASIJUI SIKU YANGU KAZIN LEO ITAISHIJE
Duuh mkuu unahitaji ushauri kweli kwenye hili? Baada ya yote hayo kukukuta bado unaona unataka kushauriwa??? Na serious manHodi wakuu!
Samahani kwa hili lakini inabidi niseme , mwaka 2017 nilileta thread moja hapa kwenu ya kutafuta mke nashukuru mungu nilifanikiwa , taratibu nikafuata akawa mke rasmi , yeye alikuwa na mtoto mmoja nilimpenda hivo hivo nikawa namlea Kama wangu , kiukweli nilimshukuru mungu kwa kukutanishwa naye !
Mwaka 2019 ndipo true colour yake halisi nikaitambua akawa ni mwanamke mwenye maneno mengi Sana na simu yake ikawa busy Sana nikaja tambua kumbe ana Yule mshikaji wake aliyemzalisha tayari wanawasiliana na tabia yake ikawa chafu Sana kiufupi nilipitia matatizo makubwa Sana kwenye ndoa hiyo Familia ikaingilia kidogo Mambo yakawa sawa huwezi amini nilimthamini sana yeye na ndugu zake pia lakini hakujali kabisa.
Ndgu zangu Mimi na wazazi wangu nikawa naumia Sana nikiamini ipo siku atabadilika nikawa nanunua zawadi napeleka nyumbani nadai kuwa mke wangu ndo kanunua kwa ajili yao kumbe hakuna nilifanya ivo ili kuwaaminisha wazazi kuwa anawapenda Sana lakini haikuwa ivo, mwaka huu January nilipata Safari ya kwenda Congo DRC mwanamke akarudia tabia zake za mwanzo ikafikia hatua akawa anatuma Text kwa leo anaenda kwa mwanamme so nisimsumbua na mengine mengi , nimerudi mwezi August moyo wangu ukiwa na maumivu makubwa Sana ila tayari nilikuwa na uamuzi wa kuachana nae !
Kweli nilifanikiwa Hilo nashukuru Mungu ndani ya muda mfupi Sana nimemsahau lakini kubwa lililonifanya kuja kwenu hapa jamvini Ni kuwa anapiga simu za kuomba pesa za shule za Yule mtoto ili hali Mimi so biological father ,but majina yote mtoto anatumia yangu na ananijua Mimi ndo baba yake , je nifanye nini wadau juu ya hili ndg zangu , niendelee na utaratibu huo au nimkaushie ?
Je wanawake wakweli wapo wapi ? au ndo utandawazi huu!
Nawasilisha.
Kwahyo hako kabinti kadogo saiz nikamama mchungaji? [emoji23][emoji23][emoji23]Sema jamaaa anachukua ushauri unao mfurahisha yeye alitaka sapoti tu ya watu watao muunga mkono kwa ujinga wake na sisi tumuache aendelee na ufara wake si penda penda sana yeye halafu miaka kibao hujamtia hata mimba huyo malaya si bora ubaki single.
Nina uncle fara fara kipindi hicho nae ni mchungaji ila mkewe(mama mchungaji) alimtesa kifara mara asepe home akapigwe pumbu huko anakuja kurudi baada ya muda na anapokewa maisha yanaendelea sema uncle bana baada ya kupigwa na kitu kizito kichwani kwa muda mrefu akili zilimrudi saizi kaoa ka bint kengine mambo shwari
We endelea kumpepelea huyo malaya anakupenda sana, kwani joka jeusi kapotelea wapi wakuu