NIMESALITIWA nisaidieni | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

NIMESALITIWA nisaidieni

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Visible, Dec 8, 2009.

 1. Visible

  Visible Senior Member

  #1
  Dec 8, 2009
  Joined: Dec 8, 2009
  Messages: 139
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Heshma mbele wana JF.

  nIpo nalia bila kujua nini cha kufanya baada ya girl friend wangu wa pili kuniacha hivi hivi.

  Demu wangu wa kwanza mimi ndo nilimwacha baada ya kumfumania live akimegwa na rafiki yanu wa karibu.

  Huyu nilifuma msg<sms> za mwanaume na kuna uwezekanao wakawa wameshafanya mapenzi.

  nikamuuliza ila ikawa tafrani kwani alingangania tuachane kama ni hivyo na hatimaye kukata mawasiliano nami .

  Home haji tena hii ni week ya tatu,

  Ila jamaa aliemtumia msg ni handsome na ana inasemekana ana mshiko manake anatembelea VX landcruiser.

  Mimi ni ndo nimemaliza na nimebamba mzigo tayari ila hajui....

  Sasa nilimwomba msamaha n a haniskiii kama nilikosa inawa yeye ndo kakosa.

  Kabadli mpaka namba ya simu.

  JF NISAIDIENI.
   
 2. M

  Matarese JF-Expert Member

  #2
  Dec 8, 2009
  Joined: Aug 30, 2009
  Messages: 519
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35
  Mwanangu huyo yupo kimaslahi zaidi, achana naye haraka sana. Hata akirudi, the moment akipata mwenye mshiko kuliko wewe atafanya tena hivyo hivyo.
   
 3. s

  sjwaonani New Member

  #3
  Dec 8, 2009
  Joined: Oct 6, 2009
  Messages: 1
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  usijali utapata mwingine mkubwaaaa
   
 4. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #4
  Dec 8, 2009
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 308
  Trophy Points: 180

  Mkono mtupu haurambwi!

  Inaonyesha Visible hukuwa na fedha za kulea penzi lenu, ndo maana ameenda kwa mwenye nazo.

  Amini usiamini dogo, mapenzi natural yapo, lakini fedha zinaweka MANUKATO katika penzi...!

  Kama utakuwa fresh atakutafuta tuu...Wee komaa naKazi yako fresh, utengeneze mahela!
   
 5. Balantanda

  Balantanda JF-Expert Member

  #5
  Dec 8, 2009
  Joined: Jul 13, 2008
  Messages: 12,321
  Likes Received: 1,037
  Trophy Points: 280
  -Umemaliza nini???,na umebamba mzigo gani(kuwa muwaiz tafadhali na jaribu kuongea lugha rahisi ambayo kila mtu atakuelewa na aweze kukusaidia kwa ushauri).

  -Unamuomba msamaha wa nini?,kwa kukikuta msg kutoka kwa mwanume mwingine na ulipomuuliza akawa mbogo ama??,Cmon mkuu you can't be serious

  -Cha msingi hapo ni ukae na kufanya uchunguzi (kama una muda huo) ili ubaini kama ni kweli ana mahusiano ya pembeni ama...Au kama vp kaa utulie utampata mwingine ambaye natumaini mtakuwa mnapendana kwa dhati,hapa namaanisha kwamba uachane na huyu bintimatakusumbua sana aisee...

  -Pia usitumie Pesa kama kigezo cha kumfanya huyo binti akupende(arudi kwako),achana naye,hakupendi,hakufai..kila la heri
   
 6. Fidel80

  Fidel80 JF-Expert Member

  #6
  Dec 8, 2009
  Joined: May 3, 2008
  Messages: 21,976
  Likes Received: 104
  Trophy Points: 145
  Mkuu kuwa makini naona umeiga kwa mkuu wajamvi asiye ona kuanzia jina umekwepesha kidogo lakini umechukua ka avatar kake kwa kwenye signature haka hapa.
  Kwa nn usitafute Avatar ingine au unashindana na Invisible?
   
 7. babukijana

  babukijana JF-Expert Member

  #7
  Dec 8, 2009
  Joined: Jul 21, 2009
  Messages: 4,811
  Likes Received: 1,146
  Trophy Points: 280
  we bado demu wa kibongo unamuita G.F?kula mzigo anza,au kama mmeelewana kiaina unaendelea nae uhusiano lakini kimachale hamna kusikilizia,asilimia kubwa madem hapo vicheche unategemea nini?huyo nae ni kimojawapo we unakiomba msamaha kivipi,umepata kazi komaa na kazi na utengeneze maisha hao madem wapo tu na hawana mpango ukiwa na mshiko unachagua mwenyewe unachagua uwe na yupi na saa ngapi aondoke,achana na mawazo ya madem tafuta chapaa kwanza,vinginevyo utaachwa sana.
   
 8. Visible

  Visible Senior Member

  #8
  Dec 8, 2009
  Joined: Dec 8, 2009
  Messages: 139
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0

  unamaanisha yeye ndo mkuu wa JF au?

  Nieleweshe kama vipi nichange faster kabla hajashtuka.

  ni mkuu wa kaya?
   
 9. bht

  bht JF-Expert Member

  #9
  Dec 8, 2009
  Joined: May 14, 2009
  Messages: 10,341
  Likes Received: 209
  Trophy Points: 160
  baba mwenye nyumba
   
 10. Fidel80

  Fidel80 JF-Expert Member

  #10
  Dec 8, 2009
  Joined: May 3, 2008
  Messages: 21,976
  Likes Received: 104
  Trophy Points: 145
  Yeah anaweza kukupa bann ya maisha usione JF maisha yako yote.
   
 11. bht

  bht JF-Expert Member

  #11
  Dec 8, 2009
  Joined: May 14, 2009
  Messages: 10,341
  Likes Received: 209
  Trophy Points: 160
  afu kuna thread katoa that....'I will be back'

  u better be quick thou.

  back to the topick
  nyota njeme huonekana alfajiri
   
 12. bht

  bht JF-Expert Member

  #12
  Dec 8, 2009
  Joined: May 14, 2009
  Messages: 10,341
  Likes Received: 209
  Trophy Points: 160
  haaaa mpwa bwana duh!!
   
 13. K

  KunjyGroup JF-Expert Member

  #13
  Dec 8, 2009
  Joined: Dec 7, 2009
  Messages: 352
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 33
  Kaka get it from me sababu mie i have be heartbroken over 5 times. ACHANANAE! Hakupendi. Mpende akupendae. Na ukitaka ujiumize zaidi, endelea ku investigate. Utakuta mwanaume yuko 10times zaidi yako. Utaumia.
  B a man. move on. Maisha yake hayatasimama sabab ya demu asiekupenda na msaliti.
  Relationship ziko kama business, u get, u lose. u get again, u lose.
  B strong. good luck upate atakaekupenda.
   
 14. Fidel80

  Fidel80 JF-Expert Member

  #14
  Dec 8, 2009
  Joined: May 3, 2008
  Messages: 21,976
  Likes Received: 104
  Trophy Points: 145
  Umeona ujumbe wako huu wewe Visible kuwa makini
   
 15. Visible

  Visible Senior Member

  #15
  Dec 8, 2009
  Joined: Dec 8, 2009
  Messages: 139
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  bado sijaelewa babaake.

  kwani yeye ni nani bana acheni woga.
   
 16. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #16
  Dec 8, 2009
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 308
  Trophy Points: 180
  We dogo unaonyesha si mtu mzuri wewe!

  Mbona mbishi hivyo na huelewi kitu?

  Umeiga jina...haitoshi hadi uige na Avatar?

  Nilikuwa nakuonea huruma jinsi ulivyoporwa DEMU...kumbe ndiyo maana!...

  FICHA UPUMBAVU WAKO..USIFICHE HEKIMA YAKO!!
   
 17. Fidel80

  Fidel80 JF-Expert Member

  #17
  Dec 8, 2009
  Joined: May 3, 2008
  Messages: 21,976
  Likes Received: 104
  Trophy Points: 145
  Ndo anae control mitambo yote hapa mpaka wewe unarusha post kwa vile yupo busy atakuona baadae.
   
 18. bht

  bht JF-Expert Member

  #18
  Dec 8, 2009
  Joined: May 14, 2009
  Messages: 10,341
  Likes Received: 209
  Trophy Points: 160
  Subiri when u are ban for life ndo utakua muoga
   
 19. Pape

  Pape JF-Expert Member

  #19
  Dec 8, 2009
  Joined: Dec 11, 2008
  Messages: 5,513
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 0
  Heko...
   
 20. Pape

  Pape JF-Expert Member

  #20
  Dec 8, 2009
  Joined: Dec 11, 2008
  Messages: 5,513
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 0
  kaka unaua sasa...
   
Loading...