haha, we umenusa upupu! ngoja 'pua' ikuwashe...unamaanisha yeye ndo mkuu wa JF au?
Nieleweshe kama vipi nichange faster kabla hajashtuka.
ni mkuu wa kaya?
samaanini waheshimiwa.
nimekosea.najirekebisha
Heshma mbele wana JF.
nIpo nalia bila kujua nini cha kufanya baada ya girl friend wangu wa pili kuniacha hivi hivi.
Demu wangu wa kwanza mimi ndo nilimwacha baada ya kumfumania live akimegwa na rafiki yanu wa karibu.
Huyu nilifuma msg<sms> za mwanaume na kuna uwezekanao wakawa wameshafanya mapenzi.
nikamuuliza ila ikawa tafrani kwani alingangania tuachane kama ni hivyo na hatimaye kukata mawasiliano nami .
Home haji tena hii ni week ya tatu,
Ila jamaa aliemtumia msg ni handsome na ana inasemekana ana mshiko manake anatembelea VX landcruiser.
Mimi ni ndo nimemaliza na nimebamba mzigo tayari ila hajui....
Sasa nilimwomba msamaha n a haniskiii kama nilikosa inawa yeye ndo kakosa.
Kabadli mpaka namba ya simu.
JF NISAIDIENI.
We dogo unaonyesha si mtu mzuri wewe!
Mbona mbishi hivyo na huelewi kitu?
Umeiga jina...haitoshi hadi uige na Avatar?
Nilikuwa nakuonea huruma jinsi ulivyoporwa DEMU...kumbe ndiyo maana!...
FICHA UPUMBAVU WAKO..USIFICHE HEKIMA YAKO!!
PJ,Muacheni kijana aendelee kujivinari jamani,maana binafsi sijaona popote alipokosea(kwa maana ya kuigajina na Avatar)...Robot anatumia jina la Invisible na kijana hapa anatumia jina la Visible...Na hata kwenye Avatar utaona kwamba Robot anatumia Avatar ambayo ni Bendera ya Afrika tofauti na hii aliyoiweka Visible....Sema mimi ambao huwa wananichanganya ni yule Invincible na The Invisible...Pamo jah
umenena niteteeeni.
Kwa heshima kuu ya kiongozi wangu BALANTANDA nakuruhusu uendelee kutumia jina hilo na avatar hiyo!..Ila kuwa mpole! Safari ni ndefu sana!
asantee sana na wewe ni mkuu wa kaya?au ?mnanimix sana watu wangu hapa.
niishaweka ingine sasa.Mkuu kuwa makini naona umeiga kwa mkuu wajamvi asiye ona kuanzia jina umekwepesha kidogo lakini umechukua ka avatar kake kwa kwenye signature haka hapa.
Kwa nn usitafute Avatar ingine au unashindana na Invisible?
niishaweka ingine sasa.
malumbano kwisha ???au hata jina mkitaka nabadili
niishaweka ingine sasa.
malumbano kwisha ???au hata jina mkitaka nabadili
Balatanda ni mediator, anasuluhishaga tumigogoro hahaaa!!! si unaona kakuopoa kwenye janga?
Teh teh...Lol!!!!!!!
Well wakuu
Now we can go back to the SUBJECT MATTER!
We have been out of the topic just bcoz ze guy put us at loggerheads!