Nimesajili Trademark Imekataliwa Nifanye Nini?

Nimesajili Trademark Imekataliwa Nifanye Nini?

Luhamba II

Senior Member
Joined
Mar 22, 2025
Posts
127
Reaction score
195
Sio mara zote unaposajili trademark utakubaliwa, Kuna circumstances zinaweza Fanya msajili wa Alama za biashara kukataa usajili wako.

Lakini hizi hapa ni remedies au mambo ya kufanya tuseme ikiwa trademark yako itakataliwa.

1. Kuomba Review/Appeal
Ikiwa unaamini sababu zilizofanya usajili wa trademark yako sio genuine reasons unaweza omba rufaa.
Au kama unahisi Kuna makosa msajili amefanya unaweza kuomba Review.

Hizi remedies unaweza zipata ndani ya siku 60 tuu baada ya kukataliwa.

2. Kufanya marekebisho kwenye maombi (amendment)
Hapa unaweza badilisha either
-Aina ya bidhaa
-Jina/logo
-class ya bidhaa

3. Kuomba letter of consent
Hapa sasa ni kama trademark yako Imekataliwa kwa sababu Kuna trademark inayofanana na hio ambayo imeshasajiliwa.
Unamtafuta Mmiliki wa hio trademark unamuomba utumie hio mark alafu atakupa letter of consent utaiambatanisha kwenda kwa msajili wa trademark.

4. Kufanya fresh application
Kama rufaa na reviews havikusaidii Fanya application upya with modified mark, hii ni njia rahisi zaidi kuliko zote.

5. Kuitumia Alama kama Common Law Trademark (unregistered right)

Bonus Tip
Hakikisha unasajili kwanza product yako as trademark kabla hujaiingiza sokoni, hii itakusaidia Kuepukana na mlolongo mrefu wa cases za trademark violation.

Hey, naitwa Luhamba Mimi ni mwanasheria na agency freelancer nawasaidia wafanya biashara kama wewe kusajili trademarks za products zao ili ziweze kua na ulinzi kisheria.

Kama unahitaji consultation zaidi kuhusu usajili wa trademark, patents, Kampuni au business name unaweza kunitumia ujumbe WhatsApp kupitia namba hizi
0678131068

Your Favorite Lawyer.
 
Back
Top Bottom