Kwanza weka maelezo yalioshiba na kueleweka.. First unatumia laptop gani(complete brand name and model)? Unamanisha Bios password au User Account login Password.. Vile vile una run na O.S gani kwenye Laptop yako kama tatizo ni User account login password.. O.S na maanisha Windows gani.
Au unamanisha serial zipi izo au uliziwekaje