pole mkuu nilidhani itaweza kusaidia!mkuu, hii kitu kama ni ngumu kidogo hiviii?
hapana, bado nipo nahangaikia sipati jawabu ndugu
Inakuwaje mtu hukumbuki email yako!?
Kwa nyie mlioanza kutumia email juzi 'baada ya ujio wa Gmail' ndio mna email za Gmail. sisi tuna email za siku nyingi za yahoo,hotmail na nyingine za ofisini. Unaponunua simu yenye operating system ya android unalazimishwa kuwa na email ya Gmail hapo unacreate email yoyote ili uweze kudownload vitu kutoka playstore. Hata mimi natumia simu hapa na nilicreate email siku naanza kuitumia lakini leo siikumbuki sio tu passwrd hata ID sikumbuki.
yani tangu isumbue simu ndio ninacheka sasa...... sawa wakala wa mpesamimi ndio mana nawashauri watu jamii ya mama yako watumie 128nokia ya tochi(model 0),wanakuja dukani kwangu wakala wa mpesa na simu za kugusa hawajui kuzitumia basi kero tupu
yangu yenyewe nakumbuka jina langu tu kwenye hii gmail lakini mengine sikumbuki kitu, itabidi sasa niwe makini zaidi na hivi vituKwa nyie mlioanza kutumia email juzi 'baada ya ujio wa Gmail' ndio mna email za Gmail. sisi tuna email za siku nyingi za yahoo,hotmail na nyingine za ofisini. Unaponunua simu yenye operating system ya android unalazimishwa kuwa na email ya Gmail hapo unacreate email yoyote ili uweze kudownload vitu kutoka playstore. Hata mimi natumia simu hapa na nilicreate email siku naanza kuitumia lakini leo siikumbuki sio tu passwrd hata ID sikumbuki.
mkuu kuna vitu vingi sana vya kuwa makkini nayvo... simu ni third part tuu kwangu....Basi unakuwa hupo serious na hujui ni kwa nini unatakiwa kufanya hivyo, au unafikiri ni vitu vya kujifurahisha vya mda mfupi tu!
hapana, haijaweza ndugu.pole mkuu nilidhani itaweza kusaidia!
hata model sijui ndio maana nimeweka picha hapo mi nachojua ni lg na kutumia tuu mkuu kwakweli uzembe umepiitiliza
to get into recovery mode combination is home button + power on in recovery touch does not work so use volume up to scroll up, volume down to scroll down, home to select and power key to go back.
Yaani hilo tatizo limepata mie kama wiki 3 zilizopita.
Tafuta program inaitwa moborobo hii itasaidi ww kifanya back up ya data zako.
Vile vile kuna maelezo ya kurecover forgottn patterns.
SASA HIYO APP NAIPATA WAPI MKUU NA SIMU HAIFANYI TASK YOYOTE ZAIDI YA KUPOKEA SIMU TUU?
Tumia computer...ambapo utainstall hio software moborobo halaf unaconnect kwa usb kwny pc
Searh google, au na ku search hujui? Rahisi sana kwenye blog ya xda-developers wameeleza vema sana..
Either kama umenunua ya magendo vile
Umeona..
Halafu jamaa anatumia simu hata hajui model yake, hii ni haijakaa vyema.!
Achana nae