Jamani naombeni mnisaidie nini nifanye maana nimesahau password ya card yangu ya Crdb bank.
Tawi nililofungulia lipo morogoro mi nipo arusha
Mimi nipo Morogoro.Tawi gani? Masika au lile karibu na Shani Cinema? Nataka nikusaidie.Tawi nililofungulia lipo morogoro mi nipo arusha