Nimesahau password ya email yangu.......

only83

JF-Expert Member
Oct 15, 2010
5,343
2,525
Habari wakuu,
Naomba msaada wa jambo moja,nimesahau password yangu ya yahoo na kibaya zaidi ninapotaka kuwajulisha kuwa nimesahau passowrd wananiuliza secret questions ambazo nilijaza wakati nafungua account yangu..na kinachoniumiza haya hayo maswali nimesahau majibu yake kulingana na nilivyojaza wakati ule.Je wakuu kuna njia nyingine ya ku-reset hii password ya account yangu? Msaada tafadhali.
 
Hakuna njia nyingine, kumbuka password au fungua account mpya.
 
kama ulitumia alternative email na yenyewe ipo powa itakusaidia kwenda kuipata uko link ya email yako ambayo itakuwa na your new password
 
Back
Top Bottom