Nimesahau mzigo ndani ya basi

Mkuu ni bahati mbaya, nimesha safiri sana na bus lakini sijawahi kusahau mzigo wangu hata siku moja
Peleleza binafsi usitumie polisi. Toa dau la kurudishiwa laptop yako.

Wanaojua ni kondakta, washusha mizigo na wanaofanya usafi kwenye basi.
 
acha umaskini ndugu yaani kwa uzembe wako uache mzigo alaf uanze kumuhisi dereva na konda ww ni faken nn nyie ndo wale watu nux unaeza singizia mtu kesi ili ulipwémali zako. begi la laptop lina uzito gani usilipakate tena safari ya usiku akili za kifaken sana[emoji35][emoji35][emoji35]
 
sawa ww ambae sio muhuni tuache wahuni tuendelee kuteteana [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mkuu unaweza toa mchango wako bila matusi na ukaeleweka vizuri tu. Asante mkuu
 
KAMPUNI YA BASI INASHINDWA KUMILIKI LAINI ZA SIMU ZA MAJINA YAKE!
 
Hapana mkuu, mpaka sasa imekula kwangu, asante kwa kuuliza
 
Palepale ulipostuka umesahau begi ungepiga simu ili wautafute na kuhifadhi kabla gari kufika mbali. Mimi nilisahau mzigo basi la BM, nikapiga muda huohuo, wakatafuta wakanipigia wameuona na watahifadhi kesho niendende ofisini, nilipoenda nilipewa kama ulivyo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…