Nimerudishwa kazini baada ya miezi 6

TZ-1

JF-Expert Member
Joined
Sep 28, 2020
Posts
4,793
Reaction score
8,476
KURUDISHWA KAZINI BAADA YA KUSIMAMISHWA KAZ NA KUSHITAKIWA

[emoji1371]Baada ya kusimamishwa kazi takriban miezi 6 kasoro na kipind chote nilikuw na pokea ½mshahara tena mshahar ambao Ndan yake kuna mkopo

[emoji1371]Nimerudishwa kazin maamuz ya kamat ya nidhamu niendelee kupokea ½ mshahara kwa miez 6🥹🥹 ijayo nikiw chini ya uangaliz sambamba na kuvuliw madaraka

[emoji3525][emoji53]Kosa langu lilikuw kutokukamalza kaz niliyopewa na mwajiri wangu mimi nikiw kama msimamiz/kiongoz katika taasi x.

[emoji52]🫤Pamoja na mimi kushindw kutimiza Majukum yangu lakin jukumu husika hilo lilikuw na kasoro/kutotimizwa ipasavyo na watanguliz /VIONGOZI/ watendaji ambao walitumikia nafas hiyo kwa mwaka 2018/2019 wakat mimi nimehamia hapo 2021december nwishon kupelekea kutokuw data/Taarfa kweny mfumo

[emoji1600]Nmejifunz katik nafas za uongoz/uteuzi zinawez kuw mwiba kwenye ajira yako direct .

[emoji1600]Kwa sasa na kuendelea hata ikitokea nimeteulew katik nafas niliyotoka nitaikwepa kwa sababu za msing bila wao kujua nitatak kuw staff officer wa kawaida tuu

[emoji1600]Uongoz ni msalaba kwakuw kesi ikija wew ndio mwenye dhaman na hatakama ulifanya na subordinate wako hawatohusishwa na kuwajibishwa mzgo wote utaubeba wew

[emoji855]Unapokuw umefukuzw kaz/ umepata changamoto kazn marafk zetu wanabak ni wale wa mtaan ambao kila siku wao tunawaona hawana mbele wa Nyuma

[emoji56]Tunapokuw kazin tuwe makin sana kwakuw kuna uwezekano mdogo sana unaofanya nao kaz kutokuw na msaada na wew zaid ya kijeli hasa kama ulishawatangulia kimaisha

[emoji28]Hakuna urafk kazini/ wale niwafanyakaz wenzio

[emoji2389][emoji2388][emoji1377]Tuweke akiba katik pato letu la siku/wiki/mwez

[emoji736]Pamoja na Changamoto ya kazi ila mwaka jan ndio mwaka ambao nimepata pesa nyingi katika mishe zangu za nje ya ajira

[emoji3595]ILa mwaka huu naona kbsa uchumi wangu umedolola[emoji336][emoji390] ila mungu yupo
 
Umesahau kutueleza tuache kutegemea ajira na mshahara boss. Ungetuasa hapo.
 
Washitaki tena wakulipe hiyo nusu waliyokuwa hawakupi. Kisheria hakuna probation unayopewa huku unalipwa mshahara nusu

Cheza na wanasheria hapo hamna tena urafiki kama walishakufukuza ukawashinda basi chukua haki zako zote. Jino kwa jino. Na kama mshiko ni mrefu bora uwapige chini wakikulipa uingie kufanya mishe kitaa.

Hapo umekalia bomu na tako moja ukijisogeza na la pili unalipuliwa
 
Kwanini uendelee kulipwa nusu mshahara wakati umerudishwa kazini na unaenda kazini kama kawaida?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…