God bell JF-Expert Member May 13, 2011 590 210 Sep 18, 2011 #1 Wapendwa wanaJF nilipotea kwa miezi kadhaa likini nimerudi. Hii ni kutokana na matatizo ya kiafya yalonikumba. Kwa sasa niko hewani tuendeleze hili jahazi la maisha. Asanteni
Wapendwa wanaJF nilipotea kwa miezi kadhaa likini nimerudi. Hii ni kutokana na matatizo ya kiafya yalonikumba. Kwa sasa niko hewani tuendeleze hili jahazi la maisha. Asanteni
Katavi Platinum Member Aug 31, 2009 41,983 12,703 Sep 18, 2011 #2 Karibu tena, tupo kama ulivyotuacha ila sura mpya zipo nyingi usishangae!
Jeji JF-Expert Member Jun 28, 2011 1,975 371 Sep 18, 2011 #3 pole kwa matatizo yaliyokusibu, karibu tena.
mikatabafeki JF-Expert Member Dec 29, 2010 12,772 4,642 Sep 18, 2011 #4 pole sana mkuu................welcome back
Rejao JF-Expert Member May 4, 2010 9,220 4,059 Sep 18, 2011 #7 Pole sana kwa yaliyokusibu..karibu tena!
God bell JF-Expert Member May 13, 2011 590 210 Sep 18, 2011 Thread starter #10 Asanteni sana kwa kunikaribisha.
Manyanza JF-Expert Member Nov 4, 2010 9,543 14,479 Sep 18, 2011 #11 pamoja mkuu Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
The last don JF-Expert Member Aug 3, 2011 966 970 Sep 18, 2011 #12 Karibu kiongozi,na pole kwa masumbufu yaliyokusibu.