Nimerudi tena wenye wivu wajinyonge

Niliwamisi sana hapa jamvini, nilipigwa bann ya siku 30 tangu 19/12/2011-19/01/2012. Nawashukuru sana wale wote walionimic pia ng ninawatakia heri ya krismas na mwaka mpya. Habari zenyuuuuu hap to b back again.

Exellent analo mwaka huu...
 
Niliwamisi sana hapa jamvini, nilipigwa bann ya siku 30 tangu 19/12/2011-19/01/2012. Nawashukuru sana wale wote walionimic pia ng ninawatakia heri ya krismas na mwaka mpya. Habari zenyuuuuu hap to b back again.

Ban? au ndio ulisimamishwa chuo? sasa umerudi computer lab. ya chuo!! Kitaa mchezo mwanawane! hata kuingia neti tu utata!!
sasa tulia chuo usifukuzwe tena ukamic kuingia JF via Desktop za college lab.
 
Mh! ngoja na mimi nijianzishie thread.
 
Sasa nani anakuonea wivu?? Mie hata sikujua kama haupo na hii ID ndo kwanza naiona leo..................

Wewe ungesema umetoka kwenye BAN mambo ya wivu yanatoka wapi

DA habari za saa hizi mwanadada?
 
Ban? au ndio ulisimamishwa chuo? sasa umerudi computer lab. ya chuo!! Kitaa mchezo mwanawane! hata kuingia neti tu utata!!
sasa tulia chuo usifukuzwe tena ukamic kuingia JF via Desktop za college lab.

kwani hana hata kicellular chenye net..
 
Naenda kununua kamba nijitundike. Lol. Karibu uwe na adabu, kuna wakubwa zako humu.
 
Sasa nani anakuonea wivu?? Mie hata sikujua kama haupo na hii ID ndo kwanza naiona leo..................

Wewe ungesema umetoka kwenye BAN mambo ya wivu yanatoka wapi
taratibu shemeji!
 
Mh! Iyo ban naona imekurusha akili.
Merry Christmass leo?
Au ndo unatuwish ya comming Dec kabisa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…