Nawasalimu sana wana JF. Nilikuwa offline kwa kipindi kirefu kidogo kutokana na shughuli nilizokuwa nazifanya kijijini ( remote area ). Mtandao ulikuwa unasumbua sana. Sasa nimerudi tena na nitaendeleza michango yangu constructive kama ilivyokuwa hapo kabla. Ahsanteni sana.