Nimerudi nimekuta Jirani yangu (Mke wa mtu) kanifulia nguo

bampami

JF-Expert Member
Nov 5, 2011
5,697
4,107
Wakuu ushauri naomba,

Hapa ninapokaa tupo kama watu 12 hivi, sasa nina jirani yangu (Mke na Mme na watoto wawili) wamehamia siku si nyingi. Sasa tuliwakaribisha vizuri nami ninaishi mwenyewe familia iko mbali.

Leo nimerudi, wakati nasalimia nikasikia "samahani jirani, Nguo ulizoanika kwenye kamba zilianguka zikalowana na matope, nimekufulia zote". Katika hizo kuna boxer zangu nne, Taulo mbili na Underwear moja Eti nazo alizifua. Dah...nimeshtuka lakini nikabaki kumshukuru sana...

Mlangoni niliacha rubber zangu asubuhi huwa nafanya jogging kidogo kujiimarisha kiafya. Nimekuta nazo zimeoshwa zinang'aa kweli kuzidi mke wangu anavyooshaga. Yaani nimepata mshtuko sana kiasi nikashindwa kabisa namna ya kushukuru kwa kujishtukia. Nimeingia ndani bado natafakari hili lilotokea ni jambo zuri lakini limepitiliza mno.

Nimepigwa butwaa hata sielewi inakuwaje hii,kutoka nje sasa hivi naogopa najishtukia sana.

Hapa wapendwa nifanyeje maana hili tukio kwangu si la kawaida kufuliwa hadi nguo za ndani na kuoshewa viatu kwangu si la kawaida. Naogopa Mme wake akijua hilo si litaleta sintofahamu wakati mimi kabisa na mawazo yafananayo na urafiki na huyo mke wa mtu??!!!

Je, Ni UPENDO wa kijirani ama ninini?
Je,Mumewe akisikia itakuwaje jamani wooooooohiii Mungu wangu nyieee....Ntaweka wapi sura yangu ikatokea nimehukumiwa kosa ambalo hata mpango wa kulifanya sipo nao????

Msaada wakuu
 
Nakufananisha na uyu Ngedele
JamiiForums-2040591456.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tunasubiri ushuda wako!
 
Kijana wangu ile dawa niliyokupa jana ndio imeng'arisha nyota yako upande wa mapenzi.
Hii itakugarimu sana maana nilikwambia usimsalimie yeyote zaidi ya yule uliyekuwa ukimtanani
Kwenye kioo changu hapa kinaonesha wewe ulijisahau ukaanza kumsalimia huyo jirani yako ambae ni mke wa mtu badala ya kumsalimia yule dada uliyesema unamtaka.

Sijui nikusaidieje mjukuu wangu katika hili

Wako babu kiburunje

Nani alishawahi kutumiwa ujumbe wa namna hii na wale matapeli?
 
Take it easy.ndio shida ya nyumba za kupanga hizi.Ishawah nitokea.
2016..nikiwa nafua nikapata emergency nikaacha nguo kwenye besen.Na kesho yake pia kumbe besen la mama mwenye nyumba.
Kesho kutwa yake nakuta Jesca mjukuu wa mama mwenye nyumba kaniletea boxer zangu zimefuliwa akanikabidhi mkononi.
Yan hata sikuwaza mara 2.Nikachukua buku 2 nikampa.Ofcz she was 19 form 3 nikasahau jumla ndio nimekumbuka baada ya kusoma uzi wako.
 
Wakuu ushauri naomba,

Hapa ninapokaa tupo kama watu 12 hivi, sasa nina jirani yangu (Mke na Mme na watoto wawili) wamehamia siku si nyingi. Sasa tuliwakaribisha vizuri nami ninaishi mwenyewe familia iko mbali.

Leo nimerudi, wakati nasalimia nikasikia "samahani jirani, Nguo ulizoanika kwenye kamba zilianguka zikalowana na matope, nimekufulia zote". Katika hizo kuna boxer zangu nne, Taulo mbili na Underwear moja Eti nazo alizifua. Dah...nimeshtuka lakini nikabaki kumshukuru sana...

Mlangoni niliacha rubber zangu asubuhi huwa nafanya jogging kidogo kujiimarisha kiafya. Nimekuta nazo zimeoshwa zinang'aa kweli kuzidi mke wangu anavyooshaga. Yaani nimepata mshtuko sana kiasi nikashindwa kabisa namna ya kushukuru kwa kujishtukia. Nimeingia ndani bado natafakari hili lilotokea ni jambo zuri lakini limepitiliza mno.

Nimepigwa butwaa hata sielewi inakuwaje hii,kutoka nje sasa hivi naogopa najishtukia sana.

Hapa wapendwa nifanyeje maana hili tukio kwangu si la kawaida kufuliwa hadi nguo za ndani na kuoshewa viatu kwangu si la kawaida. Naogopa Mme wake akijua hilo si litaleta sintofahamu wakati mimi kabisa na mawazo yafananayo na urafiki na huyo mke wa mtu??!!!

Je, Ni UPENDO wa kijirani ama ninini?
Je,Mumewe akisikia itakuwaje jamani wooooooohiii Mungu wangu nyieee....Ntaweka wapi sura yangu ikatokea nimehukumiwa kosa ambalo hata mpango wa kulifanya sipo nao????

Msaada wakuu
Yaani boxer nne alafu underwear moja. Unamaanisha unavaa chupi karne hii?? Hili suala inabidi lifike kwa spika Ndugai. Hatuwezi kuvumilia

Sent from my SM-A205F using JamiiForums mobile app
 
Wakuu ushauri naomba,

Hapa ninapokaa tupo kama watu 12 hivi, sasa nina jirani yangu (Mke na Mme na watoto wawili) wamehamia siku si nyingi. Sasa tuliwakaribisha vizuri nami ninaishi mwenyewe familia iko mbali.

Leo nimerudi, wakati nasalimia nikasikia "samahani jirani, Nguo ulizoanika kwenye kamba zilianguka zikalowana na matope, nimekufulia zote". Katika hizo kuna boxer zangu nne, Taulo mbili na Underwear moja Eti nazo alizifua. Dah...nimeshtuka lakini nikabaki kumshukuru sana...

Mlangoni niliacha rubber zangu asubuhi huwa nafanya jogging kidogo kujiimarisha kiafya. Nimekuta nazo zimeoshwa zinang'aa kweli kuzidi mke wangu anavyooshaga. Yaani nimepata mshtuko sana kiasi nikashindwa kabisa namna ya kushukuru kwa kujishtukia. Nimeingia ndani bado natafakari hili lilotokea ni jambo zuri lakini limepitiliza mno.

Nimepigwa butwaa hata sielewi inakuwaje hii,kutoka nje sasa hivi naogopa najishtukia sana.

Hapa wapendwa nifanyeje maana hili tukio kwangu si la kawaida kufuliwa hadi nguo za ndani na kuoshewa viatu kwangu si la kawaida. Naogopa Mme wake akijua hilo si litaleta sintofahamu wakati mimi kabisa na mawazo yafananayo na urafiki na huyo mke wa mtu??!!!

Je, Ni UPENDO wa kijirani ama ninini?
Je,Mumewe akisikia itakuwaje jamani wooooooohiii Mungu wangu nyieee....Ntaweka wapi sura yangu ikatokea nimehukumiwa kosa ambalo hata mpango wa kulifanya sipo nao????

Msaada wakuu
Kwa huu mwandiko wako huyo mama akiendelea kukulegezea lazima utampitia siku sio nyingi. Hapa inachofanya ni kutafuta uhalali wa wewe kuzini na mke wa mtu.

Yeye kafanya kwa nia njema, iweje wewe upelekee kwenye uzinzi. Una shetwani kichwani mwako
 
Back
Top Bottom