M.E.M.A JF-Expert Member Joined Jul 27, 2013 Posts 1,373 Reaction score 472 Feb 9, 2015 #1 Hodi tena humu. Hawa wapo hai kweli. #Heaven on earth, #Lady Dokta, #Arusha one hivi yale mabasi ni yako. #Bujibuji , #Kiwatengu , #Lady furahia, #8people , #Lady masa, #Demba . Kumbe nina kumbukumbu nzuri hivi, acha niendelee kula mananasi na wali mtindi.
Hodi tena humu. Hawa wapo hai kweli. #Heaven on earth, #Lady Dokta, #Arusha one hivi yale mabasi ni yako. #Bujibuji , #Kiwatengu , #Lady furahia, #8people , #Lady masa, #Demba . Kumbe nina kumbukumbu nzuri hivi, acha niendelee kula mananasi na wali mtindi.
Rich Pol JF-Expert Member Joined Oct 11, 2013 Posts 7,877 Reaction score 5,694 Feb 9, 2015 #2 Ngoja nikusaidie kuwaita Heaven on Earth Lady doctor arusha one Bujibuji kiwatengu lady furahia Watu8 Lady Masa DEMBA Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Ngoja nikusaidie kuwaita Heaven on Earth Lady doctor arusha one Bujibuji kiwatengu lady furahia Watu8 Lady Masa DEMBA
M.E.M.A JF-Expert Member Joined Jul 27, 2013 Posts 1,373 Reaction score 472 Feb 9, 2015 Thread starter #3 Rich Pol said: Ngoja nikusaidie kuwaita Heaven on Earth Lady doctor arusha one Bujibuji kiwatengu lady furahia Watu8 Lady Masa DEMBA Click to expand... Hahaha. Naona mkuu sauti yako ni kali kuliko yangu. Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Rich Pol said: Ngoja nikusaidie kuwaita Heaven on Earth Lady doctor arusha one Bujibuji kiwatengu lady furahia Watu8 Lady Masa DEMBA Click to expand... Hahaha. Naona mkuu sauti yako ni kali kuliko yangu.
kiwatengu Platinum Member Joined Apr 6, 2012 Posts 19,229 Reaction score 17,659 Feb 9, 2015 #4 M.E.M.A said: Hodi tena humu. Hawa wapo hai kweli..? #Heaven on earth, #Lady Dokta, #Arusha one (hivi yale mabasi ni yako?), #Bujibuji , #Kiwatengu , #Lady furahia, #8people , #Lady masa, #Demba . Kumbe nina kumbukumbu nzuri hivi. Wacha niendelee kula mananasi na wali mtindi. Click to expand... uko wapi wewe..sisi tuko powaa.
M.E.M.A said: Hodi tena humu. Hawa wapo hai kweli..? #Heaven on earth, #Lady Dokta, #Arusha one (hivi yale mabasi ni yako?), #Bujibuji , #Kiwatengu , #Lady furahia, #8people , #Lady masa, #Demba . Kumbe nina kumbukumbu nzuri hivi. Wacha niendelee kula mananasi na wali mtindi. Click to expand... uko wapi wewe..sisi tuko powaa.
M.E.M.A JF-Expert Member Joined Jul 27, 2013 Posts 1,373 Reaction score 472 Feb 9, 2015 Thread starter #5 kiwatengu said: uko wapi wewe..sisi tuko powaa. Click to expand... Nipo mkuu kwenye jiji hili lenye joto.
kiwatengu said: uko wapi wewe..sisi tuko powaa. Click to expand... Nipo mkuu kwenye jiji hili lenye joto.
Mwanyasi JF-Expert Member Joined Nov 16, 2010 Posts 7,955 Reaction score 7,111 Feb 9, 2015 #6 Karibu sana, kiwatengu niaje jombaa Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Watu8 Platinum Member Joined Feb 19, 2010 Posts 76,258 Reaction score 108,244 Feb 9, 2015 #7 Karibu tena ila haka kamji wenyeji wengi wamekahama...
Mwanyasi JF-Expert Member Joined Nov 16, 2010 Posts 7,955 Reaction score 7,111 Feb 9, 2015 #8 Watu8 said: Karibu tena ila haka kamji wenyeji wengi wamekahama... Click to expand... Umegundua kuwa many age go wamesepaee? Em nitoe gizani Smile yuko wapi? Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Watu8 said: Karibu tena ila haka kamji wenyeji wengi wamekahama... Click to expand... Umegundua kuwa many age go wamesepaee? Em nitoe gizani Smile yuko wapi?
Watu8 Platinum Member Joined Feb 19, 2010 Posts 76,258 Reaction score 108,244 Feb 9, 2015 #9 Mwanyasi said: Umegundua kuwa many age go wamesepaee? Em nitoe gizani Smile yuko wapi? Click to expand... Huyo bi mkubwa ni mwaka na ushee sasa sijui habari zake atii... Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Mwanyasi said: Umegundua kuwa many age go wamesepaee? Em nitoe gizani Smile yuko wapi? Click to expand... Huyo bi mkubwa ni mwaka na ushee sasa sijui habari zake atii...
Mwanyasi JF-Expert Member Joined Nov 16, 2010 Posts 7,955 Reaction score 7,111 Feb 9, 2015 #10 Watu8 said: Huyo bi mkubwa ni mwaka na ushee sasa sijui habari zake atii... Click to expand... Daaah sijui kapotelea wapi nimeenda amboni nikakumbuka zawadi yangu aisee
Watu8 said: Huyo bi mkubwa ni mwaka na ushee sasa sijui habari zake atii... Click to expand... Daaah sijui kapotelea wapi nimeenda amboni nikakumbuka zawadi yangu aisee
Watu8 Platinum Member Joined Feb 19, 2010 Posts 76,258 Reaction score 108,244 Feb 9, 2015 #11 Mwanyasi said: Daaah sijui kapotelea wapi nimeenda amboni nikakumbuka zawadi yangu aisee Click to expand... Hahaha...inabidi kufanya msakao mahsusi wa kumtafuta aisee
Mwanyasi said: Daaah sijui kapotelea wapi nimeenda amboni nikakumbuka zawadi yangu aisee Click to expand... Hahaha...inabidi kufanya msakao mahsusi wa kumtafuta aisee
Bujibuji Simba Nyamaume JF-Expert Member Joined Feb 4, 2009 Posts 76,579 Reaction score 161,430 Feb 10, 2015 #12 M.E.M.A kweli ulipotea, ulikuwa umeenda kwenye msitu wa Congo ama Amazon, maana naona umebadilika hadi sura yako M.E.M.A said: Hodi tena humu. Hawa wapo hai kweli. #Heaven on earth, #Lady Dokta, #Arusha one hivi yale mabasi ni yako. #Bujibuji , #Kiwatengu , #Lady furahia, #8people , #Lady masa, #Demba . Kumbe nina kumbukumbu nzuri hivi, acha niendelee kula mananasi na wali mtindi. Click to expand... Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
M.E.M.A kweli ulipotea, ulikuwa umeenda kwenye msitu wa Congo ama Amazon, maana naona umebadilika hadi sura yako M.E.M.A said: Hodi tena humu. Hawa wapo hai kweli. #Heaven on earth, #Lady Dokta, #Arusha one hivi yale mabasi ni yako. #Bujibuji , #Kiwatengu , #Lady furahia, #8people , #Lady masa, #Demba . Kumbe nina kumbukumbu nzuri hivi, acha niendelee kula mananasi na wali mtindi. Click to expand...
M.E.M.A JF-Expert Member Joined Jul 27, 2013 Posts 1,373 Reaction score 472 Feb 10, 2015 Thread starter #13 Watu8 said: Karibu tena ila haka kamji wenyeji wengi wamekahama... Click to expand... Wamehamia wapi..? Natumaini idara ya uhamiaji wana taarifa zao.
Watu8 said: Karibu tena ila haka kamji wenyeji wengi wamekahama... Click to expand... Wamehamia wapi..? Natumaini idara ya uhamiaji wana taarifa zao.
M.E.M.A JF-Expert Member Joined Jul 27, 2013 Posts 1,373 Reaction score 472 Feb 10, 2015 Thread starter #14 Bujibuji said: M.E.M.A kweli ulipotea, ulikuwa umeenda kwenye msitu wa Congo ama Amazon, maana naona umebadilika hadi sura yako Click to expand... Hahaha. Nilitaka kuzamia mji fulani wagiriki wakanitosa baharini. Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Bujibuji said: M.E.M.A kweli ulipotea, ulikuwa umeenda kwenye msitu wa Congo ama Amazon, maana naona umebadilika hadi sura yako Click to expand... Hahaha. Nilitaka kuzamia mji fulani wagiriki wakanitosa baharini.
kabanga JF-Expert Member Joined Dec 12, 2011 Posts 37,506 Reaction score 18,872 Feb 10, 2015 #15 karibu tena....
M.E.M.A JF-Expert Member Joined Jul 27, 2013 Posts 1,373 Reaction score 472 Feb 10, 2015 Thread starter #16 kabanga said: karibu tena.... Click to expand... Asante mkuu. Ndibalema yuko wapi..? Nimekumbuka story yake ya kuota na kugeuza shuka. Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
kabanga said: karibu tena.... Click to expand... Asante mkuu. Ndibalema yuko wapi..? Nimekumbuka story yake ya kuota na kugeuza shuka.
Ndibalema JF-Expert Member Joined Apr 26, 2008 Posts 10,955 Reaction score 4,662 Feb 10, 2015 #17 M.E.M.A said: Asante mkuu. Ndibalema yuko wapi..? Nimekumbuka story yake ya kuota na kugeuza shuka. Click to expand... Ahahahahaa! Mkuu umenikumbusha mbaali sana.
M.E.M.A said: Asante mkuu. Ndibalema yuko wapi..? Nimekumbuka story yake ya kuota na kugeuza shuka. Click to expand... Ahahahahaa! Mkuu umenikumbusha mbaali sana.
M.E.M.A JF-Expert Member Joined Jul 27, 2013 Posts 1,373 Reaction score 472 Feb 10, 2015 Thread starter #18 Ndibalema said: Ahahahahaa! Mkuu umenikumbusha mbaali sana. Click to expand... Hahahaha. Kila nikiikumbuka nacheka sana. Kuacha usingizi na kupindua shuka si mchezo.
Ndibalema said: Ahahahahaa! Mkuu umenikumbusha mbaali sana. Click to expand... Hahahaha. Kila nikiikumbuka nacheka sana. Kuacha usingizi na kupindua shuka si mchezo.
kabanga JF-Expert Member Joined Dec 12, 2011 Posts 37,506 Reaction score 18,872 Feb 11, 2015 #19 M.E.M.A said: Asante mkuu. Ndibalema yuko wapi..? Nimekumbuka story yake ya kuota na kugeuza shuka. Click to expand... umemuona Ndibalema amekuja....? Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
M.E.M.A said: Asante mkuu. Ndibalema yuko wapi..? Nimekumbuka story yake ya kuota na kugeuza shuka. Click to expand... umemuona Ndibalema amekuja....?
M.E.M.A JF-Expert Member Joined Jul 27, 2013 Posts 1,373 Reaction score 472 Feb 11, 2015 Thread starter #20 kabanga said: umemuona Ndibalema amekuja....? Click to expand... Nimemuona mkuu. Last edited by a moderator: Jan 4, 2016