Nimerudi mlangoni, hodi wana jf

kyanaKyoMuhaya

JF-Expert Member
Jul 8, 2012
1,952
937
Nimepitiliza hadi jikoni, wana JF nimerudi mlangoni, "NGO NGO ........hodi sebuleni, naomba mnikaribishe"
 
Kwamba unakuja tena, ulikuwa humu kwa ID gani kabla? Anyway karibu sana.
 
Wakuu, nilijikuta nagonga vyumbani wakawa wanatoka wana jamvi na kunishangaa nilikotokea. Mf. Preta,Bishanga, Sweetlady na ........... Narudi nafuata diary nimeweka majina.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom