Imanshabaz
Member
- Aug 2, 2024
- 8
- 12
sawa usijali utapata mume wa kukufaa..Wanajamvini nemerudi baada ya miaka mingi na natafuta mchumba.
Sifa ninazoziangalia.
Mimi
- Muislamu.
- Asiwe mchaga.
- Mwembamba au mnene wastani.
- Urefu wa wastani(Average) chini ya 5.5β (1.67m).
- Umri 25-30 yrs(au 35 kama hahitaji watoto).
- Awe tarari kupima.
- Aweze kuvumilia long distance relationship kwa sasa(Naishi nje kwa sasa).
- Elimu kuanzia form 4 na kuendelea.
Kama upo serious njo DM tuongee then tutanzia hapo.
- Muislamu.
- Mwembamba.
- Urefu 5.7β (1.7 m).
- Umri 40 yrs.
- Nina mtoto mmoja.
- Hardworking.
- Napenda maisha ya utulivu.
Hii distance inavumilika kabisa, ngumu ni hii ya dar -tandahimba, mwanza- kinampundu, arusha- mitipwili. Hii inavumilika kabisa.
why tandahimba lakini π π πHii distance inavumilika kabisa, ngumu ni hii ya dar -tandahimba, mwanza- kinampundu, arusha- mitipwili. Hii inavumilika kabisa.
Na vigezo sio vigumu....
Wait huyu kaka ako yupo nchi gani wifi.....why tandahimba lakini π π π
Wewe ni ME au KE?Wanajamvini nemerudi baada ya miaka mingi na natafuta mchumba.
Sifa ninazoziangalia.
Mimi
- Muislamu.
- Asiwe mchaga.
- Mwembamba au mnene wastani.
- Urefu wa wastani(Average) chini ya 5.5β (1.67m).
- Umri 25-30 yrs(au 35 kama hahitaji watoto).
- Awe tarari kupima.
- Aweze kuvumilia long distance relationship kwa sasa(Naishi nje kwa sasa).
- Elimu kuanzia form 4 na kuendelea.
Kama upo serious njo DM tuongee then tutanzia hapo.
- Muislamu.
- Mwembamba.
- Urefu 5.7β (1.7 m).
- Umri 40 yrs.
- Nina mtoto mmoja.
- Hardworking.
- Napenda maisha ya utulivu.
Wewe ni ME au KE?Wanajamvini nemerudi baada ya miaka mingi na natafuta mchumba.
Sifa ninazoziangalia.
Mimi
- Muislamu.
- Asiwe mchaga.
- Mwembamba au mnene wastani.
- Urefu wa wastani(Average) chini ya 5.5β (1.67m).
- Umri 25-30 yrs(au 35 kama hahitaji watoto).
- Awe tarari kupima.
- Aweze kuvumilia long distance relationship kwa sasa(Naishi nje kwa sasa).
- Elimu kuanzia form 4 na kuendelea.
Kama upo serious njo DM tuongee then tutanzia hapo.
- Muislamu.
- Mwembamba.
- Urefu 5.7β (1.7 m).
- Umri 40 yrs.
- Nina mtoto mmoja.
- Hardworking.
- Napenda maisha ya utulivu.
Ni vile sipo serious mngeona natrend kwa Gara b
-------------Aweze kuvumilia long distance relationship kwa sasa(Naishi nje kwa sasa).
Ni kweli nimechemka hapo, mimi ni mwanaume.Wewe ni ME au KE?
Hilo hukuliweka sawa
fanya jambo mahi mimi kama muhasibu nipo tayariNi vile sipo serious mngeona natrend kwa Gara b
Ngoja tuone next post labda atakuja atayenifaa π€£fanya jambo mahi mimi kama muhasibu nipo tayari
Mwenye watoto wanne mkuu nafasi yake ipo? Imagine unapata mke na watoto juuWanajamvini mimi ni mwanaume nemerudi baada ya miaka mingi na natafuta mchumba ambaye baadae atakua mke.
Sifa ninazoziangalia.
Mimi
- Awe mwislam.
- Asiwe mchaga.
- Mwembamba au mnene wastani.
- Urefu wa wastani(Average) chini ya 5.5β (1.67m).
- Umri 25-30 yrs(au 35 kama hahitaji watoto).
- Awe tarari kupima.
- Aweze kuvumilia long distance relationship kwa sasa(Naishi nje kwa sasa).
- Elimu kuanzia form 4 na kuendelea.
Kama upo serious njo DM tuongee then tutanzia hapo.
- Muislamu.
- Mwembamba.
- Urefu 5.7β (1.7 m).
- Umri 40 yrs.
- Nina mtoto mmoja.
- Hardworking.
- Napenda maisha ya utulivu.
Mungu akujaalie ufanikiwe hitaji la Moyo wako, ila dada zangu wa kichaga jamni ohoooWanajamvini mimi ni mwanaume nemerudi baada ya miaka mingi na natafuta mchumba ambaye baadae atakua mke.
Sifa ninazoziangalia.
Mimi
- Awe mwislam.
- Asiwe mchaga.
- Mwembamba au mnene wastani.
- Urefu wa wastani(Average) chini ya 5.5β (1.67m).
- Umri 25-30 yrs(au 35 kama hahitaji watoto).
- Awe tarari kupima.
- Aweze kuvumilia long distance relationship kwa sasa(Naishi nje kwa sasa).
- Elimu kuanzia form 4 na kuendelea.
Kama upo serious njo DM tuongee then tutanzia hapo.
- Muislamu.
- Mwembamba.
- Urefu 5.7β (1.7 m).
- Umri 40 yrs.
- Nina mtoto mmoja.
- Hardworking.
- Napenda maisha ya utulivu.
Aise acha mkuu. Wachaga wako poa. Ila inabidi tuwaachie watu wanaowaweza.Mungu akujaalie ufanikiwe hitaji la Moyo wako, ila dada zangu wa kichaga jamni ohooo